FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Umenena vyema, ndio maana namkubali sana magufuli
Katumike wewe na familia yako kwanza, kwani wasijijaribu wao?Unajua sijaelewa kwa nini Wafrika tunakataa kwa nini chanjo ya COVID-19 isijaribiwe kwetu huku. Yaani tumekaa kaa tu, watu huko Ulaya wanakesha kutafuta tiba afu wakiomba tutumike kama majaribio sisi tunakataa. Chanjo ikipatikana tunaanza kuomba watusaidie chanjo za bure.......smh
Sent using Jamii Forums mobile app
Bavicha watapinga,,Ndio maana mkuu wetu alisema wazi kua haka kakorona ni ka mafua tu,
Na sisi waafrika mafua hayatupi shida sana kama yanavyowaua wazungu.
Inawezekana mpaka sasa haka kakarona kakawa kameenea zaidi Afrika kuliko hata ulaya ila kwa vile sisi watu weusi miili yetu ni imara yenye kinga madhubuti kutokana na mazingira yetu ndio maana mpaka sasa hivi hatujapata athari kubwa kama wenzetu wazungu.
Maendeleo hayana chama
Unajua sijaelewa kwa nini Wafrika tunakataa kwa nini chanjo ya COVID-19 isijaribiwe kwetu huku. Yaani tumekaa kaa tu, watu huko Ulaya wanakesha kutafuta tiba afu wakiomba tutumike kama majaribio sisi tunakataa. Chanjo ikipatikana tunaanza kuomba watusaidie chanjo za bure.......smh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfupa hauna ulimi.Naunga mkojo hona
Unajua sijaelewa kwa nini Wafrika tunakataa kwa nini chanjo ya COVID-19 isijaribiwe kwetu huku. Yaani tumekaa kaa tu, watu huko Ulaya wanakesha kutafuta tiba afu wakiomba tutumike kama majaribio sisi tunakataa. Chanjo ikipatikana tunaanza kuomba watusaidie chanjo za bure.......smh
Sent using Jamii Forums mobile app
[/Q
Wao watafute chanjo watuache sisi Kama tulivyo, kwani hadi Sasa wao wanayo chanjo ya influenza (flu) sisi hatuna chanjo hiyo tunadunda hivyohivyo. Mafua kwetu haijawahi kuwa a public concernAfrica Uwenda covid 19 tunayo ya kutosha kama ulivyo sema ila wakubwa hawatakubali iendelee kubaki kwenye miili yetu wakija huku africa kuchukua rasilimali zetu tutawaambukiza tena.
Wakikaa sawa watakuja kutupa taf lazima ili ugonjwa ufe nguvu ama uishe.sisi wenyewe hatuwezi kitu,sisi ni kulalamika tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
duh,,umekaza,,[emoji23][emoji23]mwanzo mwishoWao watafute chanjo watuache sisi Kama tulivyo, kwani hadi Sasa wao wanayo chanjo ya influenza (flu) sisi hatuna chanjo hiyo tunadunda hivyohivyo. Mafua kwetu haijawahi kuwa a public concern