Kutafuta wenye CORONA ni sawa na kutafuta wenye mafua makali Afrika

Katumike wewe na familia yako kwanza, kwani wasijijaribu wao?
 
Bavicha watapinga,,
 
Kwetu sisi Africa huu ugonjwa ni darasa zaidi kuliko tatizo, maana tabia ya kunawa mikono kwa sabuni, kuvaa masks na kuepuka misongamano ni tabia nzuri kwa kuepuka fecal-oral infections, flu, TB, surua, polio, kipindupindu na hata typhoid. Wenzetu walikuwa wanaifanya hiyo tangu siku nyingi, hizi sanitizers zilikuwepo tangu siku nyingi kwenye maduka yao na walikuwa wanazitumia miaka nenda miaka rudi. Wenzetu tangu siku nyingi hakuna misongamano kwenye Usafiri wala popote bila kujali ventilation.

Naomba hii tabia ya kunawa, kuepuka misongamano, kutawanya maji kila Kijiji na kutumia sanitizers mahali ambapo hakuna maji viendelee hata bila ya corona, tutapunguza vifo vingi sana
 
Hebu ongeza sauti wakusikie vizuri na upatiwe majibu mujarabu,kwani umeongea kwa sauti ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama majaribio tumefanyiwa sana bila kujijua
Chanjo zote ni majaribio kwanza ndio wanajua kama inafanya kazi au la
Hata dawa za kupunguza makali walijaribishiwa Malaya wengi FACT
Mengi hatuyaoni na hii chanjo wanayotaka ijaribishwe kwenye corona ni ile chanjo ya TB (BCG) ndio wanataka wawadunge wenye Corona kama itafaa
Majaribio mpaka sasa yanafanyika Ulaya na Australia
Dr aliesema hayo ameomba radhi kwa kauli yake hiyo
Kama ni majaribio tumefanyiwa sana kwa kujua au bila kujua kwa sababu tunakula madawa ya kila aina na nyingi zina athari
Wataalamu wetu mpaka watakapojua wanasomea nini ndio tutaamka la sivyo tutawasubiri wazungu watuambie chochote kile


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Africa Uwenda covid 19 tunayo ya kutosha kama ulivyo sema ila wakubwa hawatakubali iendelee kubaki kwenye miili yetu wakija huku africa kuchukua rasilimali zetu tutawaambukiza tena.
Wakikaa sawa watakuja kutupa taf lazima ili ugonjwa ufe nguvu ama uishe.sisi wenyewe hatuwezi kitu,sisi ni kulalamika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao watafute chanjo watuache sisi Kama tulivyo, kwani hadi Sasa wao wanayo chanjo ya influenza (flu) sisi hatuna chanjo hiyo tunadunda hivyohivyo. Mafua kwetu haijawahi kuwa a public concern
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…