Kutahiri

Kutahiri

daaah
umecheka hadi mimi nimecheka
mmmmh
maisha haya, tena nitavaa lile la kuacha macho tu.

Picha tena, siyo itakuwa kama ile ya yule dada mwanamuziki na yule mtangazaji wake waliopita kavu kavu.

hahahahaha lol! Mamndenyi in baibui thanks to Sheikh MziziMkavu kwi kwi kwi kwi mie naomba picha ya kwanza ya Mamndenyi akiwa katinga ndani ya baibui nitumiwe mimi lol! 🙂🙂
 
Itakua ilikua bahati mbaya tu, lakini hii operation ni almost 100% sure.

...nilisikia kuhusu kuvalisha ring kisha inaondoa sweta yenyewe,sijui kama niko sawa je unafahamu lolote juu ya hii ya kidigitali mkuu...
 
...nilisikia kuhusu kuvalisha ring kisha inaondoa sweta yenyewe,sijui kama niko sawa je unafahamu lolote juu ya hii ya kidigitali mkuu...
Kuna doctor mmoja anaitwa doctor Juma pale kariakoo, sikumbuki mtaa gani tena, sijui swahili kama hivyo, anakata anaweka hiyo ring, hakuna haja ya kufunga bendeji tena, inapakaa dawa tu pakikauka basi ile ringi inatoka inakua safi. hebu jaribu kumuulizia huyo jamaa kama bado yupo..
 
Watani zangu kina @Ta ......, Rutashu....., wao hawana haja na shughuli yenyewe kwa ujumla wake tehe tehe tehe!

Mtoto akifikisha wiki 3 hadi mwezi safi tu kumtahiri, achana na Kongosho, ye mwenyewe alikimbia kutahiriwa
 
Last edited by a moderator:
Wadau ni wakati gani muafaka wa kumtahiri mtoto. Ni Dr gani au hospitali ipi nzuri nimpeleke junior. nitakuwa Dar soon so ningependa madactari wa dar...

Akimaliza la Saba kabla ya Kidato cha Kwanza.
 
Za kuambiwa achanganye na za kwake

Mie ndoho tabu, hatutoi ng'o

Back
Top Bottom