Kutajengwa world-best irrigation system lengo ni kuondoa subsistence farming na kufanya contract farming

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Faida za kuwa na world-best irrigation system ni kilimo kitakuwa kinafanyika mda wote bila kutegemea mvua na kutatengwa budget ya Shilling Trillion moja kwa ajili ya kuzitengeneza

Hongera Mh. Rais

You are very ambitious kuwa rais na labda hakuna kitu kitakuzuia kufikia malengo yako ukitaka...
Unaweza kufanya mapinduzi??? ama unataka kuingia kwa njia gani? Kuna watu tayari wana ambition na wana hela, I fear kwamba hauna pesa lkn una ambition, Mapinduzi ya kijeshi ama kiraia ni njia bora sana, find mercenaries huko Burkinabe na kwingineko huko deep and dark web, Then do it..ukiwa mdogo hivyo hivyo unaweza kufanikiwa sana. are u real ambitious? let me not see ur excuse on this, otherwise, unatufurahisha hapa jukwaani..

Sasa kitu kingine...

1.kuwin majority trust, anza kubadilisha maisha yako, familia na jamii yako, tengeneza the Empire hapo kwako, hakikisha wananchi wanakupenda na wanaweza kukutetea kwa vyovyote vile, buy their trust....watafutie mitaji, wachimbie visima, wape mentorship ya biashara, jishushe to their feets..yaaani, I think you understand, andaa open parties ndogondogo, leta walimu wajasiliamali wafumdishe huko.....

Fungua schemes kubwa za umwagiliaji ukiwa huna cheo chochote just a commoner na hiyo miradi wape wananchi....bro there is no miracle, utaniambia.... otherwise utakuwa unaongea tuu ilimradi unajua speeching na kuandaa illusional balanced budgets but huwashtui watu na matokea unalinganishwa na watu wa ajabu kina KISANDU

All the best Mr President
 
Unafikra mfu na za kijinga
 
Unafikra mfu na za kijinga
Bado hujui unataka nini...Endelea kuleta burudani ya "nikiwa"
There is no future tense kwenye real success, it's whether you do now or wait tomorrow which is uncertain... Presidency post is sthn everyone wants so badly kwa maji, mafuta na damu but are salivating on the post...

So what's good to your plans? bahati mbaya you are the introvert, hujui kutenda but kupanga na kuota...maaaaan! U have stood in middle of nowhere daydreaming na hujui kuupokea ukweli...think twice or go be president to your wife and kids and illusional fictional imaginary gvt...
 
Kwamba unataka nikubaliane na wazo lako la kufanýa mapinduzi fanya wewe

Wewe ni binadamu tu ambaye hujui hata nini kitatokea baada ya masaa mawili yajayo unavyosema sitaende popote ni kituko

Laana ya kuku haimfikii mwewe wewe dhihaki kwa namna utakavyoweza sababu unahaki hiyo ila huwezi nirudisha nyuma kwa sababu hakuna mtu aliyentuma ni dhamira yangu imeniskuma
 
Kwamba unataka nikubaliane na wazo lako la kufanýa mapinduzi fanya wewe

Wewe ni binadamu tu ambaye hujui hata nini kitatokea baada ya masaa mawili yajayo
Laana ya kuku haimfikii mwewe
Kupanga ni kuchagua...
U seem believing the fate than ur own efforts reaching the apex of ur ambition..lkn ur eyes are myopic either, umeona tu mapinduzi na mengine hujayaona, you judgee so fast and make wrong judgements, sasa ona...umeona mapinduzi kwenye post na mengine huyaoni ama hujayaona...

There is nothing I hate like Niki....nitapaka....yaani mambo u can do now lkn you talk of the Future..sasa what's ur progress??? Are u the entertainer?? Wewe ni mchawi ama jasusi unaeneza propaganda??? Wewe ni muoga??? Wewe ni muongo??? Wewe ni nani????
 
Mimi untukane, unidhahaki kamwe siwezi kasirika nimejifunza kukabiliana na watu kama nyie ambao mnaamini kutukana ndo jambo la msingi

Wewe tema nyongo zote ukimaliza utaendelea na shughuli zako ila huwezi nistopisha kwa hiki nachofanya fahamu ntakua Rais wa Tanzania upende usipende itakua hivyo
 
Kwamba unataka nikubaliane na wazo lako la kufanýa mapinduzi fanya wewe

Wewe ni binadamu tu ambaye hujui hata nini kitatokea baada ya masaa mawili yajayo
Laana ya kuku haimfikii mwewe
Kupanga ni kuchagua...
U seem believing the fate than ur own efforts reaching the apex of ur ambition..lkn ur eyes are myopic either, umeona tu mapinduzi na mengine hujayaona, you judgee so fast and make wrong judgements, sasa ona...umeona mapinduzi kwenye post na mengine huyaoni ama hujayaona...

There is nothing I hate like Niki....nitapaka....yaani mambo u can do now lkn you talk of the Future..sasa what's ur progress??? Are u the entertainer?? Wewe ni mchawi ama jasusi unaeneza propaganda??? Wewe ni muoga??? Wewe ni muongo??? Wewe ni nani
Mimi untukane, unidhahaki kamwe siwezi kasirika nimejifua kukabiliana na watu kama nyie ambao mnaamini kutukana ndo jambo la msingi

Wewe tema nyongo zote ukimaliza utaendelea na shughuli zako ila huwezi nistopisha kwa hiki nachofanya fahamu ntakua Rais wa Tanzania upende usipende itakua hivyo
Nnadhani sijakutukana Mr President....tusi ni lipi kati ya maneno hayo?
 
Kupanga ni kuchagua...
U seem believing the fate than ur own efforts reaching the apex of ur ambition..lkn ur eyes are myopic either, umeona tu mapinduzi na mengine hujayaona, you judgee so fast and make wrong judgements, sasa ona...umeona mapinduzi kwenye post na mengine huyaoni ama hujayaona...

There is nothing I hate like Niki....nitapaka....yaani mambo u can do now lkn you talk of the Future..sasa what's ur progress??? Are u the entertainer?? Wewe ni mchawi ama jasusi unaeneza propaganda??? Wewe ni muoga??? Wewe ni muongo??? Wewe ni nani

Nnadhani sijakutukana Mr President....tusi ni lipi kati ya maneno hayo?
Copy and paste ila nahakika utachoka utaendelea na shughuli zako na ukiwa free njoo tena ucopy and paste and the circle continue

Mimi ambaye nina nia ya kua Rais wa Tanzania kweli nianze kutupiana maneno ya dhihaka na mtu ambaye hata simjui anatumia jina bandia hapana
 
Kule hanang yale mashamba ya ngano yatarudishwa na kuondoa utegemezi kwa nchi kama Ukraine
 
Sema huyu tukimuwahi dawa anapona ...akili bado nzima tumuwahi dawa kabla hajachanganyikiwa kabida
 
Back
Top Bottom