Nashon daniel.
Senior Member
- Jan 7, 2015
- 100
- 186
Habr mkuuHabari Jf.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, mtaji wa 7m, nataka kuipanua biasha yangu ila mtaji wangu mdogo ni changamoto kubwa.
Nafikilia kujiunga na saccos ili niwe mwanacha niweze kukopa pesa kiasi kuendeleza biashara yangu.
Yeyote mwenye huwelewa juu ya taratibu za kujiunga saccos naomba msaada tafadhali. Niko Dar es salaam.
Best regards,
Mkuu nenda pale Manzese tip top kuna Saccos inaitwa Tandale Saccos ni nzuri sana. Inaendeshwa kisasa na kwa sasa imeshakuwa kama bank, unaweza kuwa na account pale ambapo huduma zote za savings na withdrawing zinafanyika kama bank.Habari Jf.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, mtaji wa 7m, nataka kuipanua biasha yangu ila mtaji wangu mdogo ni changamoto kubwa.
Nafikilia kujiunga na saccos ili niwe mwanacha niweze kukopa pesa kiasi kuendeleza biashara yangu.
Yeyote mwenye huwelewa juu ya taratibu za kujiunga saccos naomba msaada tafadhali. Niko Dar es salaam.
Best regards,
Kaka ingekuwa vizuri ungeweka namba ya uyo meneja wa hyo saccos ili wengi tufaidikeMkuu nenda pale Manzese tip top kuna Saccos inaitwa Tandale Saccos ni nzuri sana. Inaendeshwa kisasa na kwa sasa imeshakuwa kama bank, unaweza kuwa na account pale ambapo huduma zote za savings na withdrawing zinafanyika kama bank.
Wana matawi matatu kwa sasa, Tandale sokoni, Manzese tip top na Buza lakini tawi la pale tip top ni bora Zaidi ukijiungia pale. Mimi mwenyewe ni mwanachama unaweza kukopa mpk mil 70 ukitimiza masharti na vigezo. Kama upo interested naweza kukupa namba ya Manager akakupa maelezo ya ziada, lakini nzuri Zaidi unaweza kuwatembelea ofisini kwao pale pia ukapata maelezo ya kina.
Hutojuta kaka
0716995899 Manager Tandale SaccosKaka ingekuwa vizuri ungeweka namba ya uyo meneja wa hyo saccos ili wengi tufaidike
0716995899 Manager Tandale SaccosNataka Kujiunga Na Tandale Saccos
withdrawing unaifanya muda wowote mkuu au siku za kazi tu?Mkuu nenda pale Manzese tip top kuna Saccos inaitwa Tandale Saccos ni nzuri sana. Inaendeshwa kisasa na kwa sasa imeshakuwa kama bank, unaweza kuwa na account pale ambapo huduma zote za savings na withdrawing zinafanyika kama bank.
Wana matawi matatu kwa sasa, Tandale sokoni, Manzese tip top na Buza lakini tawi la pale tip top ni bora Zaidi ukijiungia pale. Mimi mwenyewe ni mwanachama unaweza kukopa mpk mil 70 ukitimiza masharti na vigezo. Kama upo interested naweza kukupa namba ya Manager akakupa maelezo ya ziada, lakini nzuri Zaidi unaweza kuwatembelea ofisini kwao pale pia ukapata maelezo ya kina.
Hutojuta kaka
Kutokana na ukweli kwamba Saccos bado haijawa na mfumo wa ATM withdrawal inafanyika muda wowote kupitia dirishani kwa mateller Monday - Sarturday, although kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kujiunga na Umoja switch.withdrawing unaifanya muda wowote mkuu au siku za kazi tu?
asante sana mkuu wengi walikuwa wanaisifia ile WAT saccoss ya pale manyanya kinondoni nilipanga niwatembelee wale kumbe hii Tandale nayo naiweka kwenye listKutokana na ukweli kwamba Saccos bado haijawa na mfumo wa ATM withdrawal inafanyika muda wowote kupitia dirishani kwa mateller Monday - Sarturday, although kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kujiunga na Umoja switch.
Hii nayo sio mbaya kaka, unaweza kutembelea zote kisha ukapima ipi ni bora Zaidiasante sana mkuu wengi walikuwa wanaisifia ile WAT saccoss ya pale manyanya kinondoni nilipanga niwatembelee wale kumbe hii Tandale nayo naiweka kwenye list
Bado wanatumia vitabu, lakini kwa sasa wameimprove sana kwenye service zao. Rudi bhana tuendelee kuijenga Saccos yetuNilijiunga enzi hizo wanatumia Vitabu sijui kwa sasa wanatumia nini nimeshawishika kurudia tena
oh asante sana mkuu nashukuru sana ile WAT kama ina Atm vile au nayo haina kama una ABC zake?Hii nayo sio mbaya kaka, unaweza kutembelea zote kisha ukapima ipi ni bora Zaidi
Sifahamu kaka, nisikudanganyeoh asante sana mkuu nashukuru sana ile WAT kama ina Atm vile au nayo haina kama una ABC zake?
Nakumbuka nilikuwa naweka pesa na kutoa nilivyoomba mkopo wakaniambia nimtafute alieniketa sasa alienileta alikuwa jirani aliahama nikakosa mdhaminiBa
Bado wanatumia vitabu, lakini kwa sasa wameimprove sana kwenye service zao. Rudi bhana tuendelee kuijenga Saccos yetu
Ni kweli ili uweze kukopa ni lazima wanachama wawili wakudhamini, isipokkuwa kama unachukua mkopo wa dharula. Kinachofanyika unaongea na Manager kama hakuna mwanachama unayemfahamu ili akutafutie watu wa kukudhamini. Mimi mwenyewe nimefanya hivyo wiki hii nimepokea mkopo paleNakumbuka nilikuwa naweka pesa na kutoa nilivyoomba mkopo wakaniambia nimtafute alieniketa sasa alienileta alikuwa jirani aliahama nikakosa mdhamini