Kutaka kujiunga na Saccos

Kutaka kujiunga na Saccos

Nashon daniel.

Senior Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
100
Reaction score
186
Habari Jf.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, mtaji wa 7m, nataka kuipanua biasha yangu ila mtaji wangu mdogo ni changamoto kubwa.
Nafikilia kujiunga na saccos ili niwe mwanacha niweze kukopa pesa kiasi kuendeleza biashara yangu.
Yeyote mwenye huwelewa juu ya taratibu za kujiunga saccos naomba msaada tafadhali. Niko Dar es salaam.
Best regards,
 
Saccos ipi, Maana kuna ya jeshi, tra, hazina, na nyingine nyingi
 
Habari Jf.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, mtaji wa 7m, nataka kuipanua biasha yangu ila mtaji wangu mdogo ni changamoto kubwa.
Nafikilia kujiunga na saccos ili niwe mwanacha niweze kukopa pesa kiasi kuendeleza biashara yangu.
Yeyote mwenye huwelewa juu ya taratibu za kujiunga saccos naomba msaada tafadhali. Niko Dar es salaam.
Best regards,
Habr mkuu
kwanza hongera kwa hatua hiyo. Saccos ni muhimu sana kwa hali ya uchumi wa mtu wa kawaida mana riba ni ndogo.
Japo kwa ufupi na kwa uelewa wangu zingatia yafuatayo kupata saccos unayotaka:
1. Mtafute bussnes partner yeyote unaemfahamu na amejiunga na saccos. Si lazima huyo anaweza kuwa hata ndugu yako lengo akufahamishe vizur kuhusu saccos husika.
2. Ni risk kujiunga na saccos ambayo ina migogoro ya kiuongozi hizi hazina mafanikio na dira.
3. Wewe ni mjasiriamali usijiunge na saccos za wafnyakazi..mf. mwl. Saccos
nawasilisha
 
mkuu nenda Finca naona wako vizuri kabisa kuliko hizi SACCOS ambazo nyingi zinaendeshwa kienyeji na zinanyonya watu.Jaribu Finca au Advent bank kwanza kabla ya hizo SACCOS
 
Habari Jf.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo, mtaji wa 7m, nataka kuipanua biasha yangu ila mtaji wangu mdogo ni changamoto kubwa.
Nafikilia kujiunga na saccos ili niwe mwanacha niweze kukopa pesa kiasi kuendeleza biashara yangu.
Yeyote mwenye huwelewa juu ya taratibu za kujiunga saccos naomba msaada tafadhali. Niko Dar es salaam.
Best regards,
Mkuu nenda pale Manzese tip top kuna Saccos inaitwa Tandale Saccos ni nzuri sana. Inaendeshwa kisasa na kwa sasa imeshakuwa kama bank, unaweza kuwa na account pale ambapo huduma zote za savings na withdrawing zinafanyika kama bank.
Wana matawi matatu kwa sasa, Tandale sokoni, Manzese tip top na Buza lakini tawi la pale tip top ni bora Zaidi ukijiungia pale. Mimi mwenyewe ni mwanachama unaweza kukopa mpk mil 70 ukitimiza masharti na vigezo. Kama upo interested naweza kukupa namba ya Manager akakupa maelezo ya ziada, lakini nzuri Zaidi unaweza kuwatembelea ofisini kwao pale pia ukapata maelezo ya kina.

Hutojuta kaka
 
Kaka ingekuwa vizuri ungeweka namba ya uyo meneja wa hyo saccos ili wengi tufaidike
 
Mkuu nenda pale Manzese tip top kuna Saccos inaitwa Tandale Saccos ni nzuri sana. Inaendeshwa kisasa na kwa sasa imeshakuwa kama bank, unaweza kuwa na account pale ambapo huduma zote za savings na withdrawing zinafanyika kama bank.
Wana matawi matatu kwa sasa, Tandale sokoni, Manzese tip top na Buza lakini tawi la pale tip top ni bora Zaidi ukijiungia pale. Mimi mwenyewe ni mwanachama unaweza kukopa mpk mil 70 ukitimiza masharti na vigezo. Kama upo interested naweza kukupa namba ya Manager akakupa maelezo ya ziada, lakini nzuri Zaidi unaweza kuwatembelea ofisini kwao pale pia ukapata maelezo ya kina.

Hutojuta kaka
withdrawing unaifanya muda wowote mkuu au siku za kazi tu?
 
Kutokana na ukweli kwamba Saccos bado haijawa na mfumo wa ATM withdrawal inafanyika muda wowote kupitia dirishani kwa mateller Monday - Sarturday, although kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kujiunga na Umoja switch.
 
Nilijiunga enzi hizo wanatumia Vitabu sijui kwa sasa wanatumia nini nimeshawishika kurudia tena
 
asante sana mkuu wengi walikuwa wanaisifia ile WAT saccoss ya pale manyanya kinondoni nilipanga niwatembelee wale kumbe hii Tandale nayo naiweka kwenye list
 
Hii nayo sio mbaya kaka, unaweza kutembelea zote kisha ukapima ipi ni bora Zaidi
 
Ba
Nilijiunga enzi hizo wanatumia Vitabu sijui kwa sasa wanatumia nini nimeshawishika kurudia tena
Bado wanatumia vitabu, lakini kwa sasa wameimprove sana kwenye service zao. Rudi bhana tuendelee kuijenga Saccos yetu
 
Nakumbuka nilikuwa naweka pesa na kutoa nilivyoomba mkopo wakaniambia nimtafute alieniketa sasa alienileta alikuwa jirani aliahama nikakosa mdhamini
 
Ni kweli ili uweze kukopa ni lazima wanachama wawili wakudhamini, isipokkuwa kama unachukua mkopo wa dharula. Kinachofanyika unaongea na Manager kama hakuna mwanachama unayemfahamu ili akutafutie watu wa kukudhamini. Mimi mwenyewe nimefanya hivyo wiki hii nimepokea mkopo pale
 
Back
Top Bottom