tatizo finca riba kubwa sana...na ukichelewesha rejesho hata siku moja cha moto utakionamkuu nenda Finca naona wako vizuri kabisa kuliko hizi SACCOS ambazo nyingi zinaendeshwa kienyeji na zinanyonya watu.Jaribu Finca au Advent bank kwanza kabla ya hizo SACCOS