Kutaka kujiunga na Saccos

Kutaka kujiunga na Saccos

mkuu nenda Finca naona wako vizuri kabisa kuliko hizi SACCOS ambazo nyingi zinaendeshwa kienyeji na zinanyonya watu.Jaribu Finca au Advent bank kwanza kabla ya hizo SACCOS
tatizo finca riba kubwa sana...na ukichelewesha rejesho hata siku moja cha moto utakiona
 
Ni kweli ili uweze kukopa ni lazima wanachama wawili wakudhamini, isipokkuwa kama unachukua mkopo wa dharula. Kinachofanyika unaongea na Manager kama hakuna mwanachama unayemfahamu ili akutafutie watu wa kukudhamini. Mimi mwenyewe nimefanya hivyo wiki hii nimepokea mkopo pale
Mkopo wa dhalula wastani unaanzia Kiasi gani na kwa muda gani , sifa za mwanachama kukopa mkopo Wa dhalura ni zipi wataitwa watu wanidhamini watakubari kweli iwapo awanijui?
 
Mkopo wa dhalula wastani unaanzia Kiasi gani na kwa muda gani , sifa za mwanachama kukopa mkopo Wa dhalura ni zipi wataitwa watu wanidhamini watakubari kweli iwapo awanijui?
Mkopo wa dharula unaweza kuwa kiasi chochote lakini unarudishwa ndani ya miezi miwili. Huwa ni ngumu mtu kukudhamini kama hakujui, na ndio maana inashauliwa kuwa na mtu anayekufahamu. Lakini pia kama historia yako ya uwekaji na utoaji nzuri kuna jinsi wanaweza kukusaidia kupata mkopo. Kumbuka lengo ni kuweka usalama wa hela za wanachama.
 
Nimekuelewa Mkuu Ila malengo makuu walio wengi kuweka na kukopa
 
Back
Top Bottom