Kutaka kujiunga na Saccos

mkuu nenda Finca naona wako vizuri kabisa kuliko hizi SACCOS ambazo nyingi zinaendeshwa kienyeji na zinanyonya watu.Jaribu Finca au Advent bank kwanza kabla ya hizo SACCOS
tatizo finca riba kubwa sana...na ukichelewesha rejesho hata siku moja cha moto utakiona
 
Mkopo wa dhalula wastani unaanzia Kiasi gani na kwa muda gani , sifa za mwanachama kukopa mkopo Wa dhalura ni zipi wataitwa watu wanidhamini watakubari kweli iwapo awanijui?
 
Mkopo wa dhalula wastani unaanzia Kiasi gani na kwa muda gani , sifa za mwanachama kukopa mkopo Wa dhalura ni zipi wataitwa watu wanidhamini watakubari kweli iwapo awanijui?
Mkopo wa dharula unaweza kuwa kiasi chochote lakini unarudishwa ndani ya miezi miwili. Huwa ni ngumu mtu kukudhamini kama hakujui, na ndio maana inashauliwa kuwa na mtu anayekufahamu. Lakini pia kama historia yako ya uwekaji na utoaji nzuri kuna jinsi wanaweza kukusaidia kupata mkopo. Kumbuka lengo ni kuweka usalama wa hela za wanachama.
 
Nimekuelewa Mkuu Ila malengo makuu walio wengi kuweka na kukopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…