Kutakua na hari ya dharura itakayohusisha vyombo vya ulinzi na usalama (Jeshi.)

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
1,028
Reaction score
1,790
UFUNUO.

Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini.

Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika.

Hiyo convoy watatangulia land cruiser ya polisi wakiwa wananing'inia kwenye machuma yale sambamba na pikipiki moja.

Litafuatiwa na gari kadhaa kisha katikati kutakua na gari flani hivi lenye haiba kama ya kijeshi jeshi... Hilo ndilo linalosindikizwa nimeshindwa kung'amua litakua limebeba nini... Na m1esho kuna gari na watu waliovalia sale za jeshi.

Ila mwendo na usiliazi wao ulionesha ni jambo la dharura na muhimu sana linahitaji kushughulikiwa kwa upesi sana.
 
Umeandika kitu kisichoeleweka
Mara kutakuwa na dharura halafu umesema tena mwisho kama tukio limetokea
Which is which?

Kwani hukumu tayari?
Maana waswahili sisi kazi yetu kubuni tu
Hii habari ni Ufunuo mkuu.

Hili ni tukio litatokea/dhihirika siku za usoni... Nimejichanganya hapo katika uwasiliahaji, kwasababu katika Ufahamu wangu hilo tukio nimeli-term kama limeshatokea... Kwakua nimeshaliona tayari.
 
Nimekuelewa vizuri
 
UFUNUO.

Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini.

Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika.

Hiyo convoy watatangulia land cruiser ya polisi wakiwa wananing'inia kwenye machuma yale sambamba na pikipiki moja.

Litafuatiwa na gari kadhaa kisha katikati kutakua na gari flani hivi lenye haiba kama ya kijeshi jeshi... Hilo ndilo linalosindikizwa nimeshindwa kung'amua litakua limebeba nini... Na m1esho kuna gari na watu waliovalia sale za jeshi.

Ila mwendo na usiliazi wao ulionesha ni jambo la dharura na muhimu sana linahitaji kushughulikiwa kwa upesi sana.
Mkuu nimepitia hii thread yako na baadhi ya “ufunuo” zako za nyuma. Kuna kitu ningependa tukifanye safari hii 😄. Kama kweli unaona tukio kabla halijatokea, usitupe details nyingi sana za code; tupe tu tarehe au kipindi, eneo, na tukio lenyewe kwa ufupi. Halafu tukio likitokea turudi hapa tulipime bila ku-connect dots baadae. Maana baadhi ya prediction zako za nyuma umeja kuziunganisha na matukio yaliyotokea baadae, hivyo ni ngumu kujua kama kweli ulikuwa umeona tukio lenyewe au tunalifananisha baadae.

Hii ya leo tumeiweka bookmark, tusubiri tuone.

Ingawa mimi naweza kusema utabiri wako unaweza kuwa ni hukumu ya Lisu na atavyolindwa kupelekwa lumande siku ya hukumu..nimejaribu tu kwa kuandalia hali ya sasa ya nchi na siasa zake.
 
Kwasasa sijafikia viwango hivyo labda huko mbeleni.

Kitu pekee nirichojihakikishia ni kwamba ufunuo wowote ukinijia huwa unakuwa katika timeframe ya ndani ya miezi miwili... Hapo mwingine utadhihirika ndani ya siku tatu, mwingine mwezi mmoja na nusu nk ila ikifikia miezi miwili mara nyingi matukio yanakua yameshatokea.

Kitu cha ajabu ni kwamba hizi code unazoziona kwenye uzi ndio Ufunuo unakuja hivyo hivyo. Kuna ufunuo unakuja na code nyepesi na unaweza ukang'amua.

Na kuna zingine zinakuja na code ngumu kiasi kwamba nikiwasilisha kama ulivyo sitaeleweka na watu watahisi nimechanganyikiwa... Hapo ndipo najaribu kufungua code kwa kadri niwezavyo sasa kama binadamu kuna asilimia kadhaa nakosea na tukio likitokea na mimi ndio napata picha kamili kumbe code flani nilitafsiri tofauti kumbe ilimaanisha hivi.

Mfano huu ufunuo wa mwaka 2026 ufunuo ulienda kwa mtiririko sawa ila mimi ninavyowasilisha nikapishanisha kilichofanya nipishanishe ni uzito wa ufunuo... wa mwanzo ilikuwa mwepesi hivyo sikutangulia kuuandika kuna uliokuja mwishoni ulikuwa ni mzito zaidi ndio nikaanza nao... sasa kwa hali hiyo matukio yakianza kutokea italeta mashaka kwawasioamini kwakua tu mtiririko umepishana.

Hapo katika thread hiyo kuna tukio la msiba wa hayati Polycarp Cardinal Pengo...likifuatiwa na kuuwawa kwa aliyekua drug cartel El macho kule Mexico.
 
Hii wiki ni wiki nzito na yamoto, bora iishe...

Huku simba kule serikali yaani ni mwendo wa kafara tu.
 
Back
Top Bottom