Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 1,028
- 1,790
Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa.
Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au wazamiaji/Wahamiaji haramu, waliokuwa wakinyemelea kwa kujificha ni kama walikuwa wanakatiza mpaka wa Nchi au wanavuka na kuingia himaya ya mtu mwingine.
Wakiwa wanaendelea kunyemelea watashtukiwa na askari(border patrol(migration)) ambao walikua dolia na walikua juu ya kitu(chopa), wakiwataka kujisalimisha lakini wale raia walianza kuwarushia police risasi na wakaanza kujibizana kwa risasi.
Ndipo wakaanza kudunguliwa mmoja baada ya mwingine na sniper.
Tukio hili litaambatana na harakati za kiutumishi kambini/umisheni wa maaskofu mapadri na watu wanaohusiana na hao.