D
DeletedMember281674
Guest
Kwani atakayetoa hiyo punzi, yeye ataishi mileleKwahiyo Padri Kitima Mwaka huu hafiki Disemba/2026 punzi yake itakatishwa???
Kwani atakayetoa hiyo punzi, yeye ataishi mileleKwahiyo Padri Kitima Mwaka huu hafiki Disemba/2026 punzi yake itakatishwa???
Tukio hili litaambatana na harakati za kiutumishi kambini/umisheni wa maaskofu mapadri na watu wanaohusiana na hao.
Hio hapo ni Malawi ya USA ikisimuliwa hapo sasa mleta mada sijui alikua analenga nini?Mbona sijaelewa 🥹
Asante kwa kuona sasa tunataka utuonyeshe mwisho wa yule Daktari ni upi? Au hio ni ngumu kuiona?Ule mtiti ulioonekana pindi wanajeshi wakikabiliana na kikundi cha wahuni nguli wadawa za kulevya na kuanza kuwaangua mmoja baada ya mwingine hadi kumfikia Boss wao... Ndio niliouona wanajeshi na chopa.
Na hao wasomi wanakula Kitimoto na biaKaa na maostadhi wasomi utakuwa unatafakari kisawa sawa.
Ukifuatilia baadhi ya video utaona jinsi operation ulivyokua imepamba moto.Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa.
Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au wazamiaji/Wahamiaji haramu, waliokuwa wakinyemelea kwa kujificha ni kama walikuwa wanakatiza mpaka wa Nchi au wanavuka na kuingia himaya ya mtu mwingine.
Wakiwa wanaendelea kunyemelea watashtukiwa na askari(border patrol(migration)) ambao walikua dolia na walikua juu ya kitu(chopa), wakiwataka kujisalimisha lakini wale raia walianza kuwarushia police risasi na wakaanza kujibizana kwa risasi.
Ndipo wakaanza kudunguliwa mmoja baada ya mwingine na sniper.
Niliona harakati za watumishi/maaskofu na mapadri wakiwa serious na wenye huzuni flani hivi! mahali... Sikujua kama utakua ni Msiba.Tukio hili litaambatana na harakati za kiutumishi kambini/umisheni wa maaskofu mapadri na watu wanaohusiana na hao.
Hapo nimekupata1. Huko Mexico Mkuu wa moja ya vikundi vya ma-cartel wa madawa ya kulevya ameuwawa na jeshi lililokua katika operation ya kumuwinda na kudhibiti mtandao wa madawa ya kulevya.
Ukifuatilia baadhi ya video utaona jinsi operation ulivyokua imepamba moto.
2. Wakati huo huku kwetu Tanzania na Kanisa Katoliki tumepata Msiba mzito... Mungu amrehemu Mwadhama Polycarp Cardinal Pengo.
Niliona harakati za watumishi/maaskofu na mapadri wakiwa serious na wenye huzuni flani hivi! mahali... Sikujua kama utakua ni Msiba.
Lax
Ni kweli kabisa kwa logic hizo hata mimi naweza nika- doubt... Lakini hizi habari sikukaa chini na kutafakari...Huu utabiri wako hauna tofauti na mtu anayesema kijiji fulani kuna mtu atang'atwa na nyoka. Halafu unakuta mazingira ya kijiji hicho ni vichaka vingi na mapori makubwa. Halafu unatulia kusikilizia.
Siku mtu aking'atwa na nyoka kweli, unakuja kusema utabiri wako umetimia. Kumbe sio utabiri bali ni "well known fact" kwamba mazingira yenye vichaka na mapori mengi ni makazi ya viumbe hatarishi kama nyoka.
Wala hujatabiri chochote.
Kumiliki silaha bila Kibali ni kinyume na sheria kwa mataifa mengi. Lakini kila mtu anajua wazi kwamba kuna vikundi vya watu au watu binafsi humiliki silaha kisiri siri.
Uhalifu huweza kutokea muda wowote, saa yoyote na sehemu yoyote. Na uhalifu ukitokea kifuatacho ni operation ya kusaka wahalifu.
Sasa kusema tu, Nakunukuu "Watu wenye silaha watauwawa kwa kudunguliwa" . Mwisho wa nukuu.
Huu sio utabiri. Kwa sababu huja specify exactly time, location and place, hao watu watakapo dunguliwa.
Umesubiri habari za kudunguliwa zimesikika huko Mexico. Unakuja kuzihusisha na uzi wako. Ionekane kwamba kweli umetabiri. Kumbe hakuna lolote.
Ni sawa mtu aanzishe uzi kwamba, kuna mvua kubwa itaua maelfu ya watu. Halafu hasemi exactly place, time and location. Anasubiri mvua zianze kunyesha duniani. Akisikia huko Madagascar mvua imeua watu, anasema yeye ndio alitabiri.
Mara nyingi utabili/unabii ninaoutoa hua hauvuki miezi miwili, ndani ya miezi miwili mambo yanadhihirika.Huu sio utabiri. Kwa sababu huja specify exactly time, location and place, hao watu watakapo dunguliwa.
Wewe mwanzoni hukutaja kwamba utabiri wako huu utatokea nchini Mexico.Ni kweli kabisa kwa logic hizo hata mimi naweza nika- doubt... Lakini hizi habari sikukaa chini na kutafakari...
Na hata kama nikifanya hivyo basi nitakuwa genius maana huko Mexico wahuni wapo kitambo kwanini hawakuuwana kabla na waje wauwane baada ya mimi kusema.
Pia mkuu, Mimi nilijuaje Tukio la Mexico na Msiba wa Cardinal Pengo vitafuatana? Hata kama natunga, sio rahisi kutunga kwa accuracy ya viwango hivi.
Mara nyingi utabili/unabii ninaoutoa hua hauvuki miezi miwili, ndani ya miezi miwili mambo yanadhihirika.
Mkuu sio kwamba naunganisha ni vile tu siwezi kukuonyesha nilichokiona.Wewe mwanzoni hukutaja kwamba utabiri wako huu utatokea nchini Mexico.
Uliandika tu bila kutaja nchi yoyote.
Sasa umesikia habari za watu kudunguliwa huko Mexico, ndio unaanza kuzifungamanisha na uzi wako.
Huu sio utabiri.
Hii ni logical fallacy inaitwa non-sequitur.
Una unganisha vitu viwili tofauti visivyokuwa na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.
Sikujua ni Nchi gani ila wakati natafakali "hivi wale watu niliowaona wanaweza wakawa wa wapi..."? Kwa asilimia kubwa niliona wanafanana na na watu wa America(ndio maana nikasema marekani) sasa angalia hiyo closeness iliyopo kati ya Marekani na Mexico.Uliandika tu bila kutaja nchi yoyote.
Huenda ikawa Marekani.Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa.
Mkuu sio kwamba naunganisha ni vile tu siwezi kukuonyesha nilichokiona.
Nilichokiona na kilichotokea Mexico ni kitu kimoja yaani ni vile vile nimethibitisha hilo baada ya kuona baadhi ya footage.
Sikujua ni Nchi gani ila wakati natafakali "hivi wale watu niliowaona wanaweza wakawa wa wapi..."? Kwa asilimia kubwa niliona wanafanana na na watu wa America(ndio maana nikasema marekani) sasa angalia hiyo closeness iliyopo kati ya Marekani na Mexico.
Na sometimes huwa inatokeaga nakua nimeona tukio ila kwa bahati mbaya, wakati wa tukio litakapotokea huwa kunakuwa hakuna Media au camera, hivyo basi taarifa zikienea ndio natambua kuwa tukio lile niliona ndio hili.
Kwa lugha nyingine ni kwamba tukio anaweza asishuhudie yeyote Yule ila mimi huwa nakuwa na taswira ya takio jinsi lilivyokua.