Havipo tena labda wawalazimishe tu.muhimu na heshima sana
Hii habari ni Ufunuo mkuu.Umeandika kitu kisichoeleweka
Mara kutakuwa na dharura halafu umesema tena mwisho kama tukio limetokea
Which is which?
Kwani hukumu tayari?
Maana waswahili sisi kazi yetu kubuni tu
Nimekuelewa vizuriHii habari ni Ufunuo mkuu.
Hili ni tukio litatokea/dhihirika siku za usoni... Nimejichanganya hapo katika uwasiliahaji, kwasababu katika Ufahamu wangu hilo tukio nimeli-term kama limeshatokea... Kwakua nimeshaliona tayari.
Mkuu nimepitia hii thread yako na baadhi ya “ufunuo” zako za nyuma. Kuna kitu ningependa tukifanye safari hii 😄. Kama kweli unaona tukio kabla halijatokea, usitupe details nyingi sana za code; tupe tu tarehe au kipindi, eneo, na tukio lenyewe kwa ufupi. Halafu tukio likitokea turudi hapa tulipime bila ku-connect dots baadae. Maana baadhi ya prediction zako za nyuma umeja kuziunganisha na matukio yaliyotokea baadae, hivyo ni ngumu kujua kama kweli ulikuwa umeona tukio lenyewe au tunalifananisha baadae.UFUNUO.
Inaweza isiwe taharuki kubwa ila pindi uonapo hari ya dharura kama vile ving'ora na convoy yake basi ewe mtumiaji wa barabara kuwa makini.
Dharula hiyo inaweza ikawa ni ya muhimu na heshima sana, kiasi kwamba shughuli nyingine zisionekane kuwa na maana, siku hiyo ikifika.
Hiyo convoy watatangulia land cruiser ya polisi wakiwa wananing'inia kwenye machuma yale sambamba na pikipiki moja.
Litafuatiwa na gari kadhaa kisha katikati kutakua na gari flani hivi lenye haiba kama ya kijeshi jeshi... Hilo ndilo linalosindikizwa nimeshindwa kung'amua litakua limebeba nini... Na m1esho kuna gari na watu waliovalia sale za jeshi.
Ila mwendo na usiliazi wao ulionesha ni jambo la dharura na muhimu sana linahitaji kushughulikiwa kwa upesi sana.
Kwasasa sijafikia viwango hivyo labda huko mbeleni.Mkuu nimepitia hii thread yako na baadhi ya “ufunuo” zako za nyuma. Kuna kitu ningependa tukifanye safari hii 😄. Kama kweli unaona tukio kabla halijatokea, usitupe details nyingi sana za code; tupe tu tarehe au kipindi, eneo, na tukio lenyewe kwa ufupi. Halafu tukio likitokea turudi hapa tulipime bila ku-connect dots baadae. Maana baadhi ya prediction zako za nyuma umeja kuziunganisha na matukio yaliyotokea baadae, hivyo ni ngumu kujua kama kweli ulikuwa umeona tukio lenyewe au tunalifananisha baadae.
Hii ya leo tumeiweka bookmark, tusubiri tuone.
Ingawa mimi naweza kusema utabiri wako unaweza kuwa ni hukumu ya Lisu na atavyolindwa kupelekwa lumande siku ya hukumu..nimejaribu tu kwa kuandalia hali ya sasa ya nchi na siasa zake.