Unapoamini kuwa kuelewa juzuu zile ni lazima bakora za migongoni zitembee hayo ndo matokeo yake.Baraza la mitihani waangalie.
Imekuwaje hakuna wastani mzuri katika somo la Elimu ya Dini ya Kiislam kwenye matokeo ya kidato cha nne?
Kuna walakini katika usahihishaji.
Serikali ifanye uchunguzi.
Ili ukweli ubainike. Kama ni watoto wote waliofanya somo hilo hawana uwezo wa kupata A tujue. Ripoti itolewe na iwe wazi kwa kila mtu kuisoma. Ili wazazi waondoa malalamiko yao baada ya kujua kwamba watoto wao hawana uwezo wa kufaulu grade A ya somo hilo.
Asante
Anaitwa nani huyo mungu waoWazungu hawa hawa wasio na habari na Mungu au wana Mungu wao wenyewe tofauti na huyu tunayemjua sisi?
Umewahi kusoma somo la Islamic mkuu ? Unajua kwann walianza kutumia namba za mitihani mbadala wa majina enzi hizo?Tatizo lipo kwa walimu wa somo,itakua wanawafundisha vitu vyepesi hivyo mnajifaulia tu mitihani ya ndani ila ikija Necta mnachemka
Kuhusu usahihishaji kule hakuna uhuni kama mnavyotaka kuaminisha watu,wasahihishaji ni hao hao wanaofundisha na wanasahihisha kwa utaratibu wa viwango vya juu kabisa
Tatizo nimeambiwa liko kwa walimu wao huwa wakienda wanaenda kuhubiri badala ya kufundisha diniUmemaliza ndugu yangu,kusoma Islamic juu juu huku lengo ni kyfanya mtihani wake utaishia kulaumu tu
JiheshimuTatizo nimeambiwa liko kwa walimu wao huwa wakienda wanaenda kuhubiri badala ya kufundisha dini
Wanaenda zaidi kuhubiria watoto na wengine kuwafanya kuwa siasa Kali lakini si kuwafunza Islamic knowledge kipindi kizima wanapiga mahubiri tu kuna mtoto wa kufaulu somo hapo? Haiwezekani
Ndio nmeuliza swali hapo kwamba au hao wenzetu wazungu wana mungu wao tofauti na huyu tunaemjua sisi wengine? Maana tunavyojua katika watu ambao hawana time na mambo ya dini wala mungu ni hao wazungu.Anaitwa nani huyo mungu wao
Huwa ni hujuma tu ,siunakumbuka kipind kile 2012 ponda alipokiwasha baada ya kubainika hujma ya yule mwanafunz alopata A Islamic akawekewa F wakasema walikosea ,mpk ndalichako akatolewa so ni kawaidaNilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)
Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%
Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.
Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.
Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.
Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISTS .
Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
Wewe kubali tu kuwa hukujibu vizuri.Mtihani wa Dini ukikosea kidogo inatakiwa ukoseshwe kwasababu uongo hautakiwi.Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)
Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%
Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.
Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.
Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.
Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISTS .
Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
Jamaa akubali tu kuwa hakufanya vizuriUngekuwa unajua namna mitihani inavyotungwa na kusahihishwa usingeleta hii mada yako hapa.
Nikwambie tu kama mtihani una maswali 10, basi utapitiwa na watu wasiopungua 14.
Walimu 10 wanaofundisha hilo somo watasahihisha kila mtu swali lake kwa Chain. Karàtasi ikitoka hapo inapita kwa Checker anakagua kama maswali yote yamepitiwa na alama alizopewa in sahihi. Karatasi inapita kwa mtu wa kutotal alama. Baada ya hapo inaenda computer kujazwa. Baada ya kutoka computer kuna watu tena wanahakiki kama alama za computer ni sawa na zilizo kwenye karatasi. Mchakato n mrefu mno kuonewa sio rahisi kama unavyodhani
Mkuu wanaangalia pia na matendo yako kama yanaendana na hiyo Islamic knowledge...Nilisoma Madrasa, Quran naifahamu vizuri, Fiqih naifahamu vizuri, Hadith nazifahamu nyingi ( Nipo vizuri mwenye elimu ya dini)
Shule ya msingi na secondary nilikuwa muhudhuriaji mzuri wa vipindi vya dini kwa 95%
Mitihani ya test na ile ya kumaliza muhula kupata "A" ilikuwa ni kawaida sana.
Mtihani wa dini wa Taifa mwaka 2012, hakuna swali ambalo sikulifahamu, nilijibu maswali yote tena kwa kujiamini.
Matokeo yalipotangazwa....Nilikutana na "F" ya Islamic knowledge.
Aisee hadi leo huwa na jiuliza au wasahihishaji walikuwa BUDDHISTS .
Sikuhitaji kukata rufaa kwa sababu zangu binafsi.
Aiseee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mkuu wanaangalia pia na matendo yako kama yanaendana na hiyo Islamic knowledge...
Ndiyo mkuu....
Mimi ni muislamu safi.Ndiyo mkuu....
Haiwezekani ujue kuandika tu kuhusu Allah wakati matendo yako ni ya kikafiri[emoji23]
Somo la Islamic Knowledge la 'O' Level, halihataji uwe unajua Kiarabu ili uweze kulifahamu.
Kutegemea Tasfiri huweza kukufanya tegemezi, kufahamu lugha ya ziada husaidia.
Huwezi jua wanaosahihisha mitihani ni wenzetu ma Shia kwa uwazi au bila kufahamika wenye kusisitiza kuonesha ufahamu na umahiri, hivyo kutaka wanafunzi wafanye bidii zaidi kujisomea wasibwete kwani wakipewa alama A au B halafu wanafunzi hao wakienda kimataifa mfano kulinganishwa na wenziwao wa nchi za kiislamu wanaweza kuaibika.
Nia ni kuwa ukipata daraja C nawe ulikuwa unatamani sana kuwa mwanazuoni basi pasina shaka utafanya bidii ya ziada kujisomea ili ufikie lengo lako kama utataka baadaye kuwa imamu, sheikh au mhadhiri ktk chuo cha dini.
Mkuu elimu ya dini inayosomeshwa mashuleni ni nyepesi sana ukilinganisha na inayosomeshwa kwenye madrasa za kiislamu
Yes wanaita kutunuku daraja. Na hiyo kazi hufanywa na watu wachache sana baada ya michakato yote ya usahihishaji kukamilika. Na huko ndiko kwenye shida!Kuna marks na grading
Unaweza pata marks 90 ila ukawekewa grade D