Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
hata alipokuwa anagombea ubunge alikuwa akiwatisha wapinzani wake ili apite bila kupingwa. Hata alipomfukuza membe alikuwa anataka apite bila kupingwa.Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Mafanikio yakupoteza watu labdaSio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kama hoja sio lazima wapitishwe au wapendekezwe, kwa nini wapoteze muda wao na pesa TZS 1m?Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Kama hoja sio lazima wapitishwe au wapendekezwe, kwa nini wapoteze muda wao na pesa TZS 1m?
Nani ana muda na maigizo?
Swali la msingi? Kuna wanachama wametishwa, wamekatazwa, wamezuiwa au kutekwa wasichukue form?Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Ni upuuzi kutana kuonesha kwamba "demokrasia ionekane ipo na haiogopwi" wakati kiuhalisia hutaki iwe hivyo!Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Halafu wewe mzee baadae utakuja na thread kuwa Chadema hakuna demokrasia hivi akili huanazisahau wapi nyie wazee? Unaonekna kabisa hufurahishwi ila unasema kiupole ingekua CDM povu kama lote.Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Unaandika nini wewe ? ccm ya awamu ya 5 unaijua ?Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Mafanikio yakupoteza watu labda
Swali la msingi? Kuna wanachama wametishwa, wamekatazwa, wamezuiwa au kutekwa wasichukue form?
Naona hili jambo linakuzwa na kupewa airtime unnecessarily.
Dr. Bashiru ameprint form 1 tu akazima printer na kuchomoa waya kabisa.
Halafu wewe mzee baadae utakuja na thread kuwa Chadema hakuna demokrasia hivi akili huanazisahau wapi nyie wazee? Unaonekna kabisa hufurahishwi ila unasema kiupole ingekua CDM povu kama lote.