Kutamalaki Demokrasia: CCM iwatie moyo Wanachama kuchukua fomu za Urais

Kutamalaki Demokrasia: CCM iwatie moyo Wanachama kuchukua fomu za Urais

Form ilikiwa moja na mbaya zaidi printer yetu imepata changamoto pia karatasi hizi ni special zimetuishia!!
 
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.

Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?

Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Unataka mmiliki wa chama augue presha
 
Back
Top Bottom