Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha kwahio kikubwa ni "Ionekane kuwa Democrasia ipo"!! Hata kama haipo? Why faking wakati tunajua their true colors?Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.