Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha kwahio kikubwa ni "Ionekane kuwa Democrasia ipo"!! Hata kama haipo? Why faking wakati tunajua their true colors?Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Hawezi kumuomba Mgombea kutoa copy??Dr. Bashiru ameprint form 1 tu akazima printer na kuchomoa waya kabisa.
Msukuma mwenzetu!!Halafu wewe mzee baadae utakuja na thread kuwa Chadema hakuna demokrasia hivi akili huanazisahau wapi nyie wazee? Unaonekna kabisa hufurahishwi ila unasema kiupole ingekua CDM povu kama lote.
Hapa ndio patamu!!. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi.
Unataka ushuhudie maigizo ya siasa?Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi.
Hakuna tatizo kujifurahisha kama unaweza amini kuna mwendawazimu anaweza chukua form ya uraisi CCM.Kweli ujinga na ushamba ni mzigo mzito
Mkuu kwa nini wewe usichukue form? Au na wewe unasubiri kuhamasishwa?Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
ThubutuHawezi kumuomba Mgombea kutoa copy??
Hakuna tatizo kujifurahisha kama unaweza amini kuna mwendawazimu anaweza chukua form ya uraisi CCM.
Sio kwa wanachama wenzake tu watakaomshangaa bali watanzania ata wasio na vyama watamuona huyo mtu ni mchawi wa taifa.
Ndio maana nikasema mpango wa CDM kujifanya kila mtu anachukua form wakati sio utaratibu wao wa kila siku wakidhani kuna wana CCM wataingia mkenge umebuma.VP hyo demokrasia mnayoitangaza?kwann wenye akili wasiwaone mazumbukuku?
Ndio maana nikasema mpango wa CDM kujifanya kila mtu anachukua form wakati sio utaratibu wao wa kila siku wakidhani kuna wana CCM wataingia mkenge umebuma.
Dedication [emoji121]to mwenyekiti ‘Muhudumu’ ongeza glass, wacha nilewe; nilewe tuu,
Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
Mkuu, kwa Wakatoliki kuna kitu wanakiita "dhambi ya asili" ama "fumbo la imani". Kumendea nafasi ya uraisi kwa Rais anayewania tena nafasi hiyo, ni sawa kabisa na dhana hizo.Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
naskia uchaguzi aliowai kushinda kihalali ni wa mwaka 95 pekeehata alipokuwa anagombea ubunge alikuwa akiwatisha wapinzani wake ili apite bila kupingwa.
hata alipomfukuza membe alikuwa anataka apite bila kupingwa
hata alipovuruga uchaguzi wa serikali za mitaa ilikuwa ni uoga wa kupingwa
magazeti na redio za Tanzania hazijadili lolote lifanywalo kinyume na serikali yake kwakuwa hataki kuoingwa
Alizuia bunge live kwa sababu hapendi kupingwa.
alizuia mikutano ya hadhara ya siasa kwakuwa hapendi kupingwa
Aliwahonga viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwakuwa hapendi kupingwa.
KAMA KWELI MAGUFULI ANAPAMBANA NA RUSHWA NA SI KUWAONEA WATU NITAJIE FISADI YEYOTE ALIYEFUNGWA KWA HII AWAMU YAKE YA KWANZA
Halafu wewe mzee baadae utakuja na thread kuwa Chadema hakuna demokrasia hivi akili huanazisahau wapi nyie wazee? Unaonekna kabisa hufurahishwi ila unasema kiupole ingekua CDM povu kama lote.
Unataka Demokrasia ya kweli au Demokrasia ya maigizo Ndugu..?!Sio lazima wapitishwe, siyo lazima wapendekezwe. Ni muhimu ionekane demokrasia ipo na haiogopwi. Watu wasitishwe au kukatishwa tamaa. Kazi, sera, mitazamo na mafanikio yaliyosheheni ya Magufuli yanaonekana.
Kuna mwanaCCM mwingine anafikiri anaweza kufanya au kuongoza tofauti na bora kuliko Magufuli. Nani yuko au wote wanamezea mate ubunge tu? Au tuwasubiri 2024/2025 kwenye mnyukano wa karne?
Bashiru wahimize wanaotaka waje kuchukua fomu.
labda kama unaishi australiaSwali la msingi? Kuna wanachama wametishwa, wamekatazwa, wamezuiwa au kutekwa wasichukue form?
Naona hili jambo linakuzwa na kupewa airtime unnecessarily.