Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

Wewe.pumbavu kweli unatupangia kisa kauli za hawala zako waamerika?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuvuruga uzi mzuri kwa tamaa yenu ya kuingia Ikulu kwa Mlango wa nyuma. Mwanakijiji ameongea vizuri kiukomavu, wewe ati Magufuli atoke! Huo ni utoto na ndoto za Abunuasi.

Ni hivi, tumekuwa tukisema sana, Magufuli sio rais mzuri na hatakaa awe rais mzuri. Ni vyema akae pembeni, na kama anampenda sana Makonda amchukue wakaishi naye. Hatuko tayari kuongozwa na viongozi wauaji kisa hawataki kukosolewa. Tena kama kuna uwezekano, hao Marekani wamchukue Makonda wakabanane naye awataje wanaomtuma kwa ajili ya hatua stahiki.
 
Kama mna ushahidi beyond no doubts si mumfungulie charge mahakamani ,huu ukasuku wa jukwaani ni ujinga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uandishi wenye chuki za kijinga kama huo hakuna atakayeufanyia kazi. Magufuli akae kando? Bibi yako kishatuchagulia mbadala yake? Kaa chini endelea na ndoto zako ovu ambazo hazitafanikiwa kwa kiasi chochote.
 
Evidence iko wapi wewe kenge?,hatuwezi fanyia kazi hear say
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanakijiji ni mnafiki kea kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mzee ndo ulikuwa kinara wa kumpamba Meko na mwanae, Bashite.
Eti leo unajifanya kuleta ushauri hapa. Kila siku tulikuwa tunasema hawa watu ni wauaji na wenye kubambikia watu kesi za uhujumu uchumi lakini wewe Mwanakijiji na wenzio mlikuwa mnapinga.

Sasa maji yashamwagika. Suluhisho ni kumwodoa Meko kupitia sanduku la kura naye kabla ya kupigwa chini hapo Oktoba, aanze kumtosa Bashite kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua madhara ya Rais aliye madarakani kuondoka! Mwache amalize miaka yake 10. Atakuwa amejifunza kipindi hiki the hard way.

Utawala ni miaka mitano, kumi ni iwapo atapata ridhaa ya miaka mitano tena. Imedhihirika pasi na shaka hana uwezo wa urais ndio maana mauji, ukatili, kubambikizia watu kesi wanaomkosoa, kuminya uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kufanya siasa na kunajisi chaguzi za nchi, vyote hivyo ni vitu vilivyomshinda. Hiyo miradi anayoitumia kuficha hizi kadhia zake, atolewe kwenye urais apewe uwaziri wa miundombinu akaisimamie, lakini kwenye urais hafai wala hajui maana ya urais ni nini.
 

Haheshimu box la kura, labda wamerakani waje wasimamie uchaguzi ndio matokeo halali yatatangazwa.
 

Tuhuma walizotoa Marekani kwa Makonda hazina baraka za rais? Mkuu unapochangia jitahidi kuongea ukweli. Tuhuma dhidi ya Makonda toka kwa wananchi ziko wazi, lakini rais amekuwa akimpa kichwa tena hadharani, utasemaje tuhuma zake hazina baraka za rais?
 
Hayo mawazo yako ya visasi, sijui alikutumbua au ndugu yako. JPM is doing fine wanaomharibia ni akina DAB
 
Hayo mawazo yako ya visasi, sijui alikutumbua au ndugu yako. JPM is doing fine wanaomharibia ni akina DAB

Kwa taarifa yako JPM ndio anayemuharibia DAB. Hayo anayoyafanya huyo DAB ni maagizo yake. The guy he is not doing fine and he won't.
 
Tuma dhidi ya mskonda ni sahihi.alikuwepo Dodoma wakati Tundu lisu anashambuliwa, anajua alipo Ben sa nane, ni yeye aliyemteka mo dewj. Msipindishe maneno hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…