Kutamalaki kwa Hekima: Serikali ijibu vipi Marekani na kwanini? Mtego wa Ikulu

Dictators always learn the hard way. Mitandao yoote inayotumika humu duniani yenye asili ya Marekani kuanzia hii Google, Facebook, Snapshot, Twitter, WhatsApp, Instagram,Google Maps, U-tube nk ni za kimkakati na zote ziko interlinked mahususi kukidhi malengo ya kijasusi ya taifa hilo kubwa duniani.

Woote wanaotumia simu za mkononi na hata ile ya mezani kwa Marekani hauna siri, unaweza kuwa na siri kwa akina Tcra tu lkn sio kwa US.

Inawezekana kweli akina Beny Saanane na Azory Gwanda maisha yao yakawa yamehujumiwa na long time wenzetu Washington wana vielelezo vyoote mezani huku sisi makaluganzila bado tuna kejeliwa eti mwenye ushahidi apeleke polisi...!!!!

Hii ni Yellow Card kwa Magufuli kuwa kwa hizi rafu anazocheza, Red Card haiepukiki. Makonda ni "Frontman" tu.

But for all these tragedies spoken about, Magufuli is actually the one who has been pulling the strings and his time to pay for his misdeeds is beckoning.
 
Kama mna ushahidi beyond no doubts si mumfungulie charge mahakamani ,huu ukasuku wa jukwaani ni ujinga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tupeleke mashitaka kwenye mahakama zipi Mkuu? Hizi hizi zilizowekwa MFUKONI na hao WAHUNI? Labda nenda wewe kafungue kesi kwenye hizo Mahakama zenu za CCM, nenda kashitaki kuhusiana na hawa WAUAJI tunaowajadili hapa.
 
Wakileta kiburi,hao jamaa watamnyakua chap,kama yule kamanda wa Iran walivomnyakua peke yake
 

Huyu Pimbi hilo la kudhulumu haki ya kuishi kwake ni jambo dogo.Kenge mkubwa hana hata aibu
 
Shida ya nchi hii ni unafiki..mfano mzuri wa wanafeli hao ni huyu mtoa hoja
 
uzi bora sana kwa mwezi huu wa pili,wenye masikio na uelewa tutaelewa kilichoandikwa lakini naamin si wote wataelewa...BIG UP mwanakijiji@jamiiforums.com
 
Hivi kwenye ulimwengu wa diplomacy..kabudi anapotamka kwenye podium neno mabeberu huwa anamaanisha nn
 
uzi bora sana kwa mwezi huu wa pili,wenye masikio na uelewa tutaelewa kilichoandikwa lakini naamin si wote wataelewa...BIG UP mwanakijiji@jamiiforums.com
 
Endeleeni tu kutiana ujinga. Mlionywa hamkusikia na sasa subirini muone. Nyie ndo mmeiangamiza nchi yetu ndani ya miaka minne tu. Uchumi haufai, wawekezaji wanakimbia, wafanyabiashara ni malalamiko tu, wafanyakazi wa serikali ndo hoi alafu zaidi kila siku kuteka na kupoteza wanaowakosoa.

Sasa muda wenu umefika!
 
tehe tehe
mzee wa kijiji nakuona unavyojaribu kupindisha kalamu ili iandike kile unachokipenda
binafsi sikumalizia kusoma makala yako nilifika pahala nikaona imejaa ujinga na ghiliba unajaribu kupaka mafuta miguu michafu
in short Makonda ni Muuaji
tushajua anayemtuma ndiye target yet sie America kaa kwa kutulia game ndiyo linaanza
 
Ahahahahhahahahhhh... Kumbe bado hamjaridhika na maamuzi mnahitaji mazito zaidi??? Kumbe unahamasisha Jiwe aendelee kuwa Jiwe na KoloBoy aendelee kuwa ninja!
Mwanakijiji unazeeka vibaya...
Yaani kutoka kuwa mwandishi nguli wa mtetezi wa haki na mtu wa kupiga vita unyanyasaji kuanzia nakufahamu hadi kuwa mfuasi makini wa wauaji na wanaokandamiza uhuru na haki za Watanzania!!
Hivi Mzee umepatwa na hiki aisee!

Haya Sweden nao nasikia washalitisha mkasi kwenye michango yao...!?
 
Hii inshu ya makonda ninavyoiona kwa jicho la kati ni ule katazo la Mh. Makonda kupinga hadhari ushoga Tanzania. Hizo zingine ni bla bla tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii inshu ya makonda ninavyoiona kwa jicho la kati ni ule katazo la Mh. Makonda kupinga hadhari ushoga Tanzania. Hizo zingine ni bla bla tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mnaangaika bure kumtetea huyo Chinjachinja. Muda unamuishia, huwezi ukaua watu tu siku zote eti wewe ukabaki salama. That's impossible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…