Kutamani Kungonoka kila Dakika, Je, huu ni Ugonjwa?

kweli nitakusaidia kupata matibabu yako madame B honestly
 
Tatizo zuri hilo jamani Madame B , to be honest nakuonea wivu sana, mi huwa sometimes (not always) nakua nimechoka sana kiasi kwamba simgusi mke wangu kabisaaaaa ila kuna siku mmmhhhhh wee acha tu. Uzuri wa tatizo lako ndio huo kuwa familia nyingi sana sana wana ndoa wanakosa hamu ya hio kitu, sasa kama wewe unaipata kwa wingi, ni jambo la heri hilo.

Nikuambie kitu? Ukilipata tena hilo tatizo ni-PM nikusaidie Oral Sex tu japo upunguze machungu. Serious but usiwaambie watu
 
Last edited by a moderator:
Ooh! Pole. hilo ni tatizo dogo. Nina dawa ya hilo tatizo. nimewahi kuwasaidia watu wenye tatizo kama lako na wakafanikiwa. Ni pm tu.
 
Nami natatizo kama lako ni pm tuwe tunasaidiana kupunguza hayo makitu tusiaibike bure baby
 

Yaani hilo tatizo ni la kila siku.
Ngoja nikuPM.
 
Last edited by a moderator:
Ooh! Pole. hilo ni tatizo dogo. Nina dawa ya hilo tatizo. nimewahi kuwasaidia watu wenye tatizo kama lako na wakafanikiwa. Ni pm tu.

Asante sana.
Ngoja niku Pm.
 
Madame B hauishi vituko mtoto wa kike. Kupenda kungonoka kuna mambo mengi sana,

1.0 Kama muda mwingi uko free na akili yako unaipelekea huko jua lazima nyege za kufanya mapenzi kila wakati. Suluhisho hebu jiweke busy muda mrefu na kama upo humu JF muda mwingi usiingie lile jukwaa letu la watu wazima ambalo kila mara majadiliano ni hayo tu.
2.0 Jaribu kufanya mazoezi yatakayouchosha mwili ili angalau hizo nyege zipungue maana mwili nao ukichoka hautamani mambo hayo.
3.0 Kama unaweza pendelea kufunga alteast mara mbili au tatu kwa wiki, mwili utachoka na akili kuhama. Kila mara utakuwa unajihisi unahitaji kufanya ibada ili uende sambamba na funga yako na zaidi ya hapo mwili nao utachoka na ukirudi home utakuwa unahitaji kupumzika.
4.0 Mwisho mwombe Mungu lakini ukisema kwa sababu kila mara unawaza kupelekewa moto ndiyo uitikie mwito wa mwili jua mwili wako utakuwa wa wote maana ni wanaume wachache wanaoweza kufanya mapenzi kila siku tena kwa kiwango unachokitaka.

Pole take care.
 
Last edited by a moderator:
Madam B mie nina tiba ya asili,tutafutane nikupe tiba ya kudumu,pole sana kwa matatizo hayo!!!
 

Working under the assumption kuwa kilichosababisha hilo "tatizo" ni hizo dawa, then ni lazima zilivuruga masuala ya ki'homoni katika mwili hivyo unachokiona ni matokeo ya hilo.

Kinachonishangaza ni kwamba unasema uliacha kuzitumia kama miaka mitatu imepita kama sijakosea, ningetegemea kuwa hiyo reaction ingeshaisha unles yale mabadiliko katika homoni yalikua irreversible.

Ila kama mabadiliko yaliyotokea katika homoni yalikua reversible, then jua kuwa saikolojia ya namna "ulivyotatua tatizo" wakati linaanza, (maana ulikua hujui chanzo) ndiyo inayokupa uhitaji ulionao wakati huu.

Tafadhali naomba utufahamishe content za dawa.
 

Hongera sana na pole sana:

Unaweza kumaliza tatizo lako kwa kutumia Oyster.

"Oyster is a cooling food. It cools lower body. Often eating oysters will decrease sex drive"

For further details: Mafanikio Na Afya Njema: Kupunguza Ashiki Ya Ngono - High Sex Drive Treatment, Remedies for Men and Women
 

Duu, mm pia nina hiyo hali! am just born with it! mm sidhani kama nahitaji tiba, coz its my naturality! km vp nicheki nikuhudumie kipindi chote cha kuhangaika kutafuta tiba! the luck side of me is i can control!

nb:
am not kiding!
 
Ok ok tutapanga muda kwenye PM kwajili ya Oral Sex tu ili kukusaidia. Kila siku half an hour itatosha sana, hakikisha una muda na simu inachaji ya kutosha. Thx


...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???
 

Hamia mtaa anaoishi Bujibuji! Tatizo lako litaisha mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…