Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
- Thread starter
- #61
Inawezekana matatizo yako yapo kisaikolojia zaidi. Hapo mwanzo ulipokuwa mnene ulikuwa hujaridhika na muonekano wa mwili wako, baada ya kupungua uzito umerudisha confidence yako hivyo anajaribu kuover compensate for previous inconfidences. Jaribu kumwona Psychologist anayespecialize kwenye mambo ya sexual disorders.
Asante sana mkuu damian marijani.
Nitafuata na kuuzingatia ushauri wako.
Last edited by a moderator: