Kutamani Kungonoka kila Dakika, Je, huu ni Ugonjwa?

Kutamani Kungonoka kila Dakika, Je, huu ni Ugonjwa?

Inawezekana matatizo yako yapo kisaikolojia zaidi. Hapo mwanzo ulipokuwa mnene ulikuwa hujaridhika na muonekano wa mwili wako, baada ya kupungua uzito umerudisha confidence yako hivyo anajaribu kuover compensate for previous inconfidences. Jaribu kumwona Psychologist anayespecialize kwenye mambo ya sexual disorders.

Asante sana mkuu damian marijani.
Nitafuata na kuuzingatia ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Wengine ndio washaona njia ya kumtaka Madame B kingono. Madame B chuja pumba na mchele!

Usijali mpendwa HP1.
Najua wanajifurahisha tu.
Hata hyo nitakuwa makini sana.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta majani ya mpera chemsha na umix na tablesalt + manganis 2 + sodium + 2 spoon ya mkojo wako wa asubui then kunywa hiyo solution kwa Muda wa 7dayz na unjwe kila afta 6hrz

Serious mjombo's?
 
Last edited by a moderator:
Kama shemeji unamudu kukuhudumia kila mara unapomhitaji afanye hivyo, mie sioni kama ni tatizo! Kula vitu mama, ila kama hajiwezi lol, hii itakuwa hatari maana usijeparamia waume za watu ukaingia aibu mtaani!

Hahaha.
Haya bhana.
 
Pole sana, lakini ulikosea sana kuanza kutumia dawa hizo bila kuonana na daktari halisi,

Nakushauri kama upo Dar nenda Muhimbili Hospital tatizo lako litatibika tu,

NB Kama halitatibika inabidi utafute haraka mpenzi na uolewe kama bado hujaolewa,

Na ikishindikana yote nitafute mie, nitajitolea kukutibu kwa kila siku angalau mara tatu!

Pole sana dada yangu!

hapo ndo kuona tatizo na kulifanya fursa!!! Hongera sana!!
Ma dr wetu wa hapo MCHS, watampa vidonge na tiba mbadala awe makini
SP
 
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.
Madame B Je unajua jina kamili la dawa hizo ulizotumia? Hata kama ni jina la kibiashara (trade name) achilia mbali jina halisi (generic name) itasaidia kupata dawa stahili!
 
Last edited by a moderator:
Madame B Je unajua jina kamili la dawa hizo ulizotumia? Hata kama ni jina la kibiashara (trade name) achilia mbali jina halisi (generic name) itasaidia kupata dawa stahili!

Kwa kweli ni miaka mitatu imepita so itakuwa ngumu kukumbuka mkuu md4doctor2000.
Ila nakuahidi nitafuatilia jina lake kisha nitakutumia kwa Pm mkuu
 
Last edited by a moderator:
Yaaaaaaaaaaani daily on the game thats fan! But mie naikubali hali huyo unachotakiwa kunywa maji hadi kiu iishe, yaani wewe tungekutana ingekuwa poa mak mie mwenzio nataka mara 8 kwa usiku eti si imebalance?
 
Kumbe kutamani kuduu kila wakati ni ugonjwa
Mimi sitamani kabisa kuduu, je nao ni ugonjwa
 
Habarini za Asubuhi Madaktari na Washauri wa Jukwaa Hili.
Naomba mnisaidie kwani ninasumbuliwa sana na Ashki za kujaamiana.
Tatizo hili lilinianza takribani miaka kama 3 iliyopita baada ya kutumia vidonge vya kupunguza unene.
Dawa hizo nilizinunua toka kwa rafiki yangu mmoja ambae aliniambia alitumiwa na kaka yake aliyekuwa Thailand.
Vina rangi ya kijani kibichi na muundo wake ni kama kidonge cha Ampicilin. Ni kwamba vilinisaidia kwani nilipungua ila sasa ukaibuka ugonjwa huu.
Naomba mwenye kufahamu tiba anisaidie kwa maana naadhirika mjini hapa.

fanya mazoezi ya viungo sna
 
Kumbe kipindi ulikuwa unatafuta kwenda kufanya kazi kwa mbaba ulitaka ukamhenyeshe sio, pole yako Madame B.
 
Back
Top Bottom