Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Wakuu,
Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha.
Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo.
Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni.
Sasa bana nimepata kazi.
Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata wakati mgumu.
Hivyo naomba kuuliza wanywaji. Mnawezaje kujizuia kunywa mda wa kazi?