Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hilo la kumvua nguo kuna wahuni wakimkuta yupo nusu uchi amezima, watamfi.r..a kweli.Yai ndio solution tena mnamvua suruali na boxer mpaka magotini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo la kumvua nguo kuna wahuni wakimkuta yupo nusu uchi amezima, watamfi.r..a kweli.Yai ndio solution tena mnamvua suruali na boxer mpaka magotini
Kuacha chochote ni moyoni chukulia mfano yaan uandikiwe na daktari kua ukinywa unakufa Mbona utaacha swala lako lipo kwenye PSYCHOLOGY ZaidiWakuu,
Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha.
Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo.
Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni.
Sasa bana nimepata kazi.
Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata wakati mgumu.
Hivyo naomba kuuliza wanywaji. Mnawezaje kujizuia kunywa mda wa kazi?
Hii noma atapagawa 😂Au wanaongea na mtu wa mochwari,akiamka yupo mochwari na maiti kibao,milango umefungwa !
MkuuWakuu,
Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha.
Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo.
Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni.
Sasa bana nimepata kazi.
Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata wakati mgumu.
Hivyo naomba kuuliza wanywaji. Mnawezaje kujizuia kunywa mda wa kazi?
Sawa, lakini kama wote ndo tumekufa saa hii; wewe figo zako bado nzimaaaaa yaani brand new, na mimi zangu hazifai, ZINAKUZAIDIA NINI?Kwanza tambua hizo pombe ni hatari kwa afya yako unaharibu figo na ini mwisho wa siku utakufa kabla ya muda wako...
Ungekua unakunywa pombe za maana usingepata hizo arosto za kishamba... Nikiona mtu anakunywa pombe za aina hizo huwa siwez kumheshimu
Pamoja na changamoto za hapa na pale,ndugu yetu jitahidi kuhakikisha huachi pombe kwa sababu yoyote!Wakuu,
Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha.
Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo.
Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni.
Sasa bana nimepata kazi.
Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata wakati mgumu.
Hivyo naomba kuuliza wanywaji. Mnawezaje kujizuia kunywa mda wa kazi?
Kuna mmoja wa pombe za kienyeji, walimuweke vitoto vya panya ambavyo bado havina manyoya. Alipokuwa anakaribia kuimaliza, akaviona vile vitoto vimekufa humo. Alitapika kila kitu, na tangu siku hiyo, akisikia tu harufu ya pombe, anatapika ile mbaya. AkaachaKuna jamaa hyo ya makaburini ilidunda akaendeleza ulabu hadi walivompasulia yai ndo akaacha.
Binafsi hata aingie inzi wa kizungu,hawa bonge bonge kwenye pombe yangu namnyonya hadi atapike pombe yote kisha naendelea na kapiolo.Kuna mmoja wa pombe za kienyeji, walimuweke vitoto vya panya ambavyo bado havina manyoya. Alipokuwa anakaribia kuimaliza, akaviona vile vitoto vimekufa humo. Alitapika kila kitu, na tangu siku hiyo, akisikia tu harufu ya pombe, anatapika ile mbaya. Akaacha
Binafsi hata aingie inzi wa kizungu,hawa bonge bonge kwenye pombe yangu namnyonya hadi atapike pombe yote kisha naendelea na kapiolo.
Yes bro, sisi wa nangurukuru tunajua wanatoka ulaya, maana hata lia yao ni ki irish kitupu si kama wa kiswahili hawa kutwa kushinda kwenye mizogaView attachment 3108226
Wale wa kijani?
Kwanini aache mkuu..Weka akili yako iwe bize na kazi tu na ukisikia kiu kunywa maji potezea mawazo muda wa kazi unaisha unaenda kupiga nyagi kama kawa alafu acha kunywa visungura mkuu