Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Ukisikia kiu kunywa maji,na potezea mawazo ya farujohn weka kwenye kitu kilichokuumiza utasahau mchupa,utakuja kunishukuru!Wakuu,
Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha.
Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo.
Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni.
Sasa bana nimepata kazi.
Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata wakati mgumu.
Hivyo naomba kuuliza wanywaji. Mnawezaje kujizuia kunywa mda wa kazi?
Wewe acha hizo!hapo fanya mpango ugombane na. Boss,,, mpige na mabanziii ya kutosha….atakufukuza kazi,,,, then utaendelea kugida kasichana, na visungura taratibu,,, Tena saizi anza asubuhi hadi asubuhi hakuna kulala….
Nawasilisha.
Pombe imeshaanza kukutawala.Wakuu,
Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha.
Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo.
Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni.
Sasa bana nimepata kazi.
Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata wakati mgumu.
Hivyo naomba kuuliza wanywaji. Mnawezaje kujizuia kunywa mda wa kazi?
Kuna jamaa hyo ya makaburini ilidunda akaendeleza ulabu hadi walivompasulia yai ndo akaacha.Pombe imeshaanza kukutawala.
Dawa watu kama nyinyi tunawanywesha pombe mkilewa tunaenda kuwalaza makaburini mkiamka akili inawakaa sawa.
AiseeKuna jamaa hyo ya makaburini ilidunda akaendeleza ulabu hadi walivompasulia yai ndo akaacha.
Au wanaongea na mtu wa mochwari,akiamka yupo mochwari na maiti kibao,milango umefungwa !Pombe imeshaanza kukutawala.
Dawa watu kama nyinyi tunawanywesha pombe mkilewa tunaenda kuwalaza makaburini mkiamka akili inawakaa sawa.
Hiyo sasa ni kesi kubwa.Au wanaongea na mtu wa mochwari,akiamka yupo mochwari na maiti kibao,milango umefungwa !
Au wanaongea na mtu wa mochwari,akiamkaPombe imeshaanza kukutawala.
Dawa watu kama nyinyi tunawanywesha pombe mkilewa tunaenda kuwalaza makaburini mkiamka akili inawakaa sawa.
Hanywi kangara,gongo,myakaya ni farujohn!Kwanza tambua hizo pombe ni hatari kwa afya yako unaharibu figo na ini mwisho wa siku utakufa kabla ya muda wako...
Ungekua unakunywa pombe za maana usingepata hizo arosto za kishamba... Nikiona mtu anakunywa pombe za aina hizo huwa siwez kumheshimu
Tunaweza kwa kuwaza kutokuwa na hela tukifukuzwa kwenye kazi hiyo..!!Wakuu,
Baada ya kugombana na bosi wangu na kumtukana, kazi ikaisha.
Ghafla nikajikuta niko mtaani bila mchongo.
Ili kubuy time ikawa ni kushinda baa na kupiga visungura tangu saa mbili asubuhi hadi jioni.
Sasa bana nimepata kazi.
Najizuia nisinywe mda wa kazi maana nimeshakuwa addicted napata wakati mgumu.
Hivyo naomba kuuliza wanywaji. Mnawezaje kujizuia kunywa mda wa kazi?
Yai ndio solution tena mnamvua suruali na boxer mpaka magotiniKuna jamaa hyo ya makaburini ilidunda akaendeleza ulabu hadi walivompasulia yai ndo akaacha.