Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

Kipimo unachotumia wewe ni cha mwisho kabisa kukitumia kupima maendeleo, pima maendeleo kwa kuangalia kiwango cha miundombinu na namna inavyotumiwa, serikali inawajibika kuweka miundombinu kwa ajili ya maendeleo..binadamu tunatofautiana watu wengine hawapendi kuwa na vitu vizuri..nyumba nzuri, gari nk mtu kama huyo utamlazimisha apate vitu unavyotaka wewe?
Haya Rwanda ni nchi ndogo, ilinganishe na Zanzibar basi..zinalingana?
Ukubwa wa nchi na uwingi wa watu una faida nyingi na nafasi nzuri ya kupata maendeleo kuliko nchi ndogo yenye watu wachache.
 
Wewe unachanganywa na Propaganda za madkiteta. Watu kama nyie ndio mnaoamini kuwa Libya ya Gadafi ukioa unalipiwa mahari na unapewa nyumba.
 
Hakika nimekuelewa..... Ufafanuzi murua...

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Rwanda waliukataa Ujamaa ndiyo maana wana maendeleo. Tanzania bado inaongelea sera za Ujamaa ulioujengwa na Nyerere.
 
Kagame anatimu ya kumpamba mitandaoni ikiongozwa na idara ya usalama ya Rwanda. Kwa kiasi wamefanikiwa kuwaaminisha watu.
Rwanda ya mtandaoni ni kama kilimo cha tikiti cha pdf.

No correlation with things on the ground.
Nyie watu, nyie watu, jamani Paul Kagame siyo wa mchezo mchezo na Rwanda yake.
Mimi nilimkubali siku nilipo ona tumewekewa tangazo pale UDSM linahusuraia wa nchi yoyote ya Afrika Mashariki la ufadhili wa kusoma Masters Degree chuo kikuu kikubwa The Carnegie Mellon University (CMU) toka Marekani.
Kagame( serikali ya Rwanda) anakulipia 50% na CMU wanakulipia kiasi kingine ili mradi una sifa wanazo taka bila kujali uraia wako.
 
Hizi hoja dhaifu sana
Ni sawa na kusema hutakiwi kuifananisha China na Tanzania kwa kuwa Tanzania inazidiwa na province moja ya China. As long as unapokuwa na nchi kubwa na research nazo ni nyingi. Mbona China, USA, India ni kubwa na hazina excuses za ukubwa wao. Na una compare level ya maendeleo kati ya UK na USA ilihali UK ni ndogo?
When it comes to Africa we are so reluctant to admit and take measures lather we normally find excuses to create comfortable zone
 
Kagame anatimu ya kumpamba mitandaoni ikiongozwa na idara ya usalama ya Rwanda. Kwa kiasi wamefanikiwa kuwaaminisha watu.
Ukweli ndio huu.
Lakini pamoja na juhudi hizi, kamba yake imefika mwisho.
 
i yenye raslmali nying Kama tz nahisi Rwanda ingekuwa Korea kusini ya afrika au nasema uongo wadau?
Na pengine Afrika Mashariki nzima ingekuwa ni koloni lake, au siyo?
Usiangalie upande mmoja tu unaokupendeza, ukasahau ni ule mwingine usiokuwa mzuri.

Na kwa sababu hiyo ya kujiona yeye yupo juu na uwezo mkubwa, ingetosha kabisa kuvuruga hiyo picha nzuri unayoiwekea nchi ya kiongozi mwenye tabia kama za Kagame.
 
Chini ya Kagame, Rwanda wangekuwa na bandari wangefanikiwa kuliko sisi.
 

Kiingereza nchi hii ni shida hadi aibu jamani.Eti ‘one of the best President’...Come on man, say ‘one of the best Presidents’...
 
Ungeishia kumjadili tu Kagame bila kumtaja Magufuli, unalinganisha Kagame na kilaza aliyekuwa hawezi hata kuelewa salaam rahisi tu ya Kiingereza?

Pili nikusahihishe:

Ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam kwa sasa ni zaidi ya Uwezo wake:

Uwezo wa Bandari ya Dar (intrinsic capacity) kwa miundombinu ya sasa ni kuhudumia Metric tonnes mil.16 kwa mwaka, lkn Bandari inahudumia metric tonnes mil.17 kwa mwaka

Ufanisi upi sasa mdogo ambao wewe unauzungumzia?

Well, hata kama huo ufanisi ungekuwa mdogo, bado huwezi kulaumu utendaji wa Bandari yenyewe kama Bandari kwa sababu Utendaji wa Bandari kwa kiasi kikubwa hutegemea miundombinu imara ya Reli, ambayo kwa sasa haipo, na pia uzalishaji wa ndani (domestic freight/exports) ambao nao sasa haupo; AKILI YAKO WEWE INAWAZA IMPORTS TU, kama ilivyokuwa akili ya Magufuli, smmmh
 
Wewe ni Kagame au sycophant / chawa wake
 
Huyo muuaji,mkabila na mwizi haramia unasemaje?.Mmejazana kwenye social media zote kuficha ushenzi anaofanya DRC kupitia M23 na utesaji wa raia wake haswa wahutu.Mara sijui makanisa,mara hotuba za kujisifu nk ushenzi tu
 
Wanyarwanda mrudi kwenu sasa, amani imeshapatinana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…