Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

Uwongo huyo ni jambazi la madini ya DRC na mlamba matako ya wazungu mkubwa sana walahi
Huyo ni mavi mavi tu na kasha jizeekea fyeeekelea mbali [emoji35]
 

Koma mtoto koma ku generalize watu unasikia [emoji35]
Sema family yako ndio mabwege ya kusifia nchi nyingine au kuna Watanzania
Unasikia wewe pimbi [emoji2959]
 
Hizo propaganda kwann unazileta hapa mara kwa mara una shida gani na Tanzania boss jiangalie sana sana sana
 
unachokitafuta utakipata ,suala la utalii hata usiwasifie kabisa kuhusu kuwapa majina hao Sokwe ameiga Tanzania upande magharibi mwa nchi na kusini ya Kigoma kuna Hifadhi za Taifa sokwe walipewa majina na watafiti kutoka japan na watanzania tangu mwaka 1985,aidha Tanzania imebalance maendeleo at least kila Mkoa kiasi fulani una maendeleo tofauti na huko unakotumwa kuwatangizia
nakusihii sana acha acha acha acha
 
Hayo maneno kawaeleze wananchi wa dodoma Bahi
 
ingekuwa kagame ametawala nchi yenye ukubwa hata nusu ya Tanzania (kama kenya) akapambana na changamoto za nchi pana ningekubaliana na wewe, lakini si sahihi hata kidogo kumsifiwa mtu anayetawala ki nchi kidogo kuliko mbuga ya serengeti mpaka anaua watu kwa kisingizio cha ugaidi. Akitawala nchi kubwa kama tz atakuwaje.

NB; Rwanda in ukubwa wa kilomita za mraba 26,000. Serengeti ina 30,000, Kenya ina 485,000 Tanzania in 950,000

yaani huyo kagame unayemsifiwa ni sawa na kumsifu mkuu wa mkoa wa Tanga wenye kilomita za mraba 26,000. Kagame hajawa tested kutawala nchi kubwa kumlinganisha na wazoefu wa kutawala manchi makubwa yenye changamoto lukuki na kuna amani na mshikamano ni kukosa adabu. Rwanda ni kanchi kadogo sana kenye matabaka/makabila 3 tu lakini ameshindwa kuweka umoja wa kitaifa, analazimisha dunia ijue rwanda kuna kabila moja tu wanyarwanda-watusi
 
Yuko vizuri sana.
Ila kushindana na hizo nchi hapana asingeweza maana hata kamkoa ka rwanda hakaajaweza kushindana nazo. Ukitoka nje ya kigali kuna sehemu zimechoka balaa
Kigali yenyewe imrchoka mno hasa milimani, kuna vijumba vya ovyo na wamachi waliokata tamaa kwa ugumu wa maisha, kifupi Wanyarwanda wanatumia nguvu kubwa kujionesha mambo yako vema lakini uhalisia ni bado wana hali ngumu sana.
 
Wapumbavu ndio wanabaki kusema na kuita Rwanda kamkoa. Nyie tz mmefanya nini? Hakuna kitu Tanzania tumeweza. Viongozi wa hovyo, wabinafsi, mafisadi, non creative. Yaani bora bomu la nyuklia lingetandikwa all over; weusi ni breed ya hovyo
 
Ama kweli ww utakua punga unasema calture za kiarabu na na ushirikina niambie nchi gani ya kiarabu masikini acha chuki za kijinga na kwa taarifa yako uarabuni ikithibitika ww mshirikina adhabu yako ni kuuawa punga wewe
 
Tanzania tunatakiwa tulinganishwe na nchi kubwa kama Korea ya Kusini, Vietnam na Malaysia ambazo miaka ya 1960 wakati tunapata uhuru umaskini na maendeleo yetu vilikuwa vinakaribiana.
 
Huyo DIKTETA mchukue akatawale familia yako. Hatutaki MADIKTETA Tanzania na ndiyo maana hata Magufuli amekufa.

Unachoita maendeleo ni upuuzi mtupu wakati wananchi hawana uhuru wa kujieleza.
Kwahiyo CCM sio madikteta?
 
Koma mtoto koma ku generalize watu unasikia [emoji35]
Sema family yako ndio mabwege ya kusifia nchi nyingine au kuna Watanzania
Unasikia wewe pimbi [emoji2959]
Una utahira sio bure!!
 
Mke wake rais kagame mwambie mumeo aachie madaraka asiwe king'ang'nizi hata ishi milele na wengine Wana uwezo wa kuongoza.
 
England ina square kilometres 130,000

Tanzania ina square kilometres 900,000

Cha kushangaza hiyo England inaikopesha na kuipa misaada Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…