Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

Brother! uko tayali kupigwa mawe?kuitwa kibaraka wa kagame?maana umeongea ukweli.👏
 
Wewe mtusi ni mjinga nambari moja!

Huyo dikteta unayemsifu siku DRC wakijitambua wakamdhibiti akaacha kuiba rasilimali zao atakuwa amekwisha!

Huyo kagame wako ni jambazi tu hana lolote.
Kwa nini hawajitambui sasa?watajitambua lini? wana shindwa na M23 wataiweza Rwanda? wakaileta Wagner ya Warusi sasa ona!😂👇
 

Attachments

  • 20230101_081511.png
    280.6 KB · Views: 12
  • IMG_20230101_074816.jpg
    64.1 KB · Views: 10
  • IMG_20230101_074831.jpg
    107.9 KB · Views: 10
  • IMG_20230101_074828.jpg
    108.4 KB · Views: 11
  • IMG_20230101_074824.jpg
    119.1 KB · Views: 14

Dogo... Politics is local. Siasa ya Rwanda hata siku moja usije ukadhani ndo itakuwa siasa ya Tanzania.

Kwa hiyo Kagame ni wa Rwanda, na hizo akili zake ni hukohuko Rwanda. Angekuwa Bongo hata uRais angeishia kuusikia kwenye bomba tu.

Halafu Rwanda ni kamkoa kamoja tu ka Tanzania. Kanchi kakiwa kadogo halafu kana pesa nyingi za wizi wa dhahabu kutoka nchi jirani ni lazima kawe na maendeleo. Maana kanchi kakiwa kadogo hakatumii pesa nyingi sana kujenga miundombinu ya kukuza uchumi na kuhudumia wananchi.
 
Dikteta Uchwara, Kagame ni mwiba mkubwa sana kwa East Africa Development
 
Comments za mawazo mgando zinaumiza sana

Hawajui kusoma hata akili za ku digest uzi huu hawana
 
Hoja yako ni nin apa
 
Hizi ni propaganda nyingine za kipuuzi tu,Rwanda inauchumi gani wa maana?
Umaskini umejaa tele,Inaishia kuiba madini congo,inategemea misaada ya ulaya,sasa hv,UK inapeleka wakimbizi wote Rwanda,na Rwanda imekubali sio kwa vile ina rasilimali za kuwahdumia hao wakimbizi,ni kwa vile Hilo deal Lina pesa nyingi,zitasaidia kuinua uchumi.
Ubora wa nchi,sio makaratasi,au makala ndeefu,vitu vionekane.
Nchi Bora Afrika,ni south Afrika,Nigeria,Kenya,
 
Kuteka maeneo yenye madini nchi jirani ili kuinua uchumi wa nchi yako ndio akili?
 
Nimejitahidi kusoma ila nimeishia kati baada ya kugundua alie buni hadithi hii hajui hata anacho kielezea
 
Nikiambiwa nichague kati ya PK na chura kiziwi nachague Pk
 
Kuteka maeneo yenye madini nchi jirani ili kuinua uchumi wa nchi yako ndio akili?
Vipi Kuuza madini na ifadhi za nchi yako kwa manufaa ya ukoo wako na vyombo vya usalama vina kuangalia (toothless ) ni sawa ?
 
Apambane kwanza amzidi Burundi kabla ya kuparamia asiyoyaweza
Why akapambane na burundi wakati hawana resources wanazo zitaka? Rwanda anajua ana eneo dogo, with increased population anahitaji enough resources ku sustain nchi yake. Is why of all amewaona anawaweza ni congo
 
Hz huwa ni porojo tu, zisizo na maana, kama, hakuna mfumo anaotengrneza Kagame, kwake ni personal oriented leadership, akitoka tu, nchi inakosa mwelekeo,
Kuna watu kama Mustapha ataturk, aliweka mifumo, inayoishi mpaka Leo, kule uturuki, miaka 60+ baada ya yeye kufa!
Nchi bado inatumia busara sake mpaka Leo,
Kwa Kagame, is one man show! Akitoka tu, watu wanagswana mbao,nidhamu iliyopo ni uoga tu, angalia nchi kama china, haijalishi Nani ni rais, taratibu zile zile, za kikomusnist zinafatwa,
Shida ya bongo, ni CCM mafia wameshika nchi, hawa kipaumbele mama kwao, ni kubski madarskani by hook and crook! Nothing more nothing less, chochote kinachofsnywa ni je kinaihakikishia CCM kubski ikulu! That is what matters to these moutherfuckers!
Njia pekee ya kuwaomdoa hawa, ni kama kutibu kansa,ama ukate mguu, au mionzi mikali, ni coup d'etat tu, tatizo hata "our men in uniforms" Mabaka mabaka, na wao ni kenge tu, wanasubili uteuzi, ni wezi, mafisadi!
 
Hela huna

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…