Mkuu...kwenye ukubwa WA kiwanja 20*20 nataka kujua nitajenga nyumba ya ukubwa gani ambayo itakuwa ya kisasa na nitaacha nafasi kwa mababda kadhaa ya mifugo Landa na kimtu cha mpapai na mlimao? Nawasilisha
Kinatosha sanaMkuu...kwenye ukubwa WA kiwanja 20*20 nataka kujua nitajenga nyumba ya ukubwa gani ambayo itakuwa ya kisasa na nitaacha nafasi kwa mababda kadhaa ya mifugo Landa na kimtu cha mpapai na mlimao? Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibuni
Karibuni
Karibuni
Karibuni
Karibuni
NinazoMzee una ramani ya ki servant kota na makadirio ya gharama ya ujenzi?
uyu ajajibiwa jamaniNyumba ya kawaida yenye vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja master,choo,na sebule mnajenga kwa pesa ngapi kwa mfano
Inategemea land scape ipoje. Lakini boma ni wastan wa tsh 15mil material pamoja na labouuyu ajajibiwa jamani
Wastan wa 15m kwa boma.Nyumba ya kawaida yenye vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja master,choo,na sebule mnajenga kwa pesa ngapi kwa mfano