o_2
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 428
- 385
Mkuu...kwenye ukubwa WA kiwanja 20*20 nataka kujua nitajenga nyumba ya ukubwa gani ambayo itakuwa ya kisasa na nitaacha nafasi kwa mababda kadhaa ya mifugo Landa na kimtu cha mpapai na mlimao? Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app