Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
- #601
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada, nahitaji kuezeka nyumba, changamoto niliyokumbana nayo kwenye ujenzi wa awali nilipata bati feki zikawai sana kupauka rangi yake. Wapi naweza pata bati nzuri na kwa bei nzuri ambayo hazitapauka kwa haraka.Ni Fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zangu ni ndogo kulingana na uchumi wa mtanzania.
Pia, nafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa. Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.
PIA, NATENGENEZA MFUMO MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO KAMWE.
Napatikana Dar es salaam. Pia, unaweza kunipata Instagram kama 'FUNDI MAHIRI WA UJENZI'
Mawasiliano.
0655173113
Whatsap 0655173113
Barua pepe:
pmoses951@gmail.com
Tumia bati za Arafu. Kama uko dsm nenda kaweke order kiwandani. Itachukua Kati ya Siku tatu mpaka Tani kuzipataNaomba msaada, nahitaji kuezeka nyumba, changamoto niliyokumbana nayo kwenye ujenzi wa awali nilipata bati feki zikawai sana kupauka rangi yake. Wapi naweza pata bati nzuri na kwa bei nzuri ambayo hazitapauka kwa haraka.
Picha zaidi utazipata ktk page yangu ya istagram. Fundi mahiri wa ujenziView attachment 862778
Username instagram ni lipiPicha zaidi utazipata ktk page yangu ya istagram. Fundi mahiri wa ujenziView attachment 862778
Fundi mahiri wa ujenziUsername instagram ni lipi
KaribuniPicha zaidi utazipata ktk page yangu ya istagram. Fundi mahiri wa ujenziView attachment 862778