Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Naomba msaada, nahitaji kuezeka nyumba, changamoto niliyokumbana nayo kwenye ujenzi wa awali nilipata bati feki zikawai sana kupauka rangi yake. Wapi naweza pata bati nzuri na kwa bei nzuri ambayo hazitapauka kwa haraka.
 
Tumia bati za Arafu. Kama uko dsm nenda kaweke order kiwandani. Itachukua Kati ya Siku tatu mpaka Tani kuzipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…