Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Tabia ya client. Kama mteja muungwana basi fundi nae atakuwa muungwana lkn Kama mteja jeuri fundi nae atakuwa jeuri.
Unaita wateja wako jeuri...

Mteja akiwa jeuri na wewe ukawa jeuri, mtafika vipi sasa? Utajenga jina baya la fundi jeuri.

Kajfunze customer service

Na uelewe watu wamesota kwa namna mbali mbali kutafuta nguvu ya kujenga. Wanapokuwa strict (wakali kufuatilia specifications za ujenzi) and frugal (makini kidhibiti gharama) usidhani ni jeuri, wana uchungu na mali yao.

What a turn off.
 
Back
Top Bottom