Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

IMG_20210714_171512_481.jpg
 
Mbona unatumia picha za watu hapa? weka picha za kazi zako ulizofanya ili tuamini unachofanya, hizo picha zote ulipost zipo instagram ukurasa wa Dutan Housing huko instagram
 
Mbona unatumia picha za watu hapa? weka picha za kazi zako ulizofanya ili tuamini unachofanya, hizo picha zote ulipost zipo instagram ukurasa wa Dutan Housing huko instagram
Unauhakika na unalosema?
Picha halisi zote ni kazi zangu.
Na Kama katika MAISHA yako ya kila Siku unakurupuka hivi Basi nakuonea huruma
 
Naomba maelezo zaidi kuhusu ujenzi wa nyumba hii na idadi ya vyumba, gharama zake hadi kukamilika na tamani yake.

Na maelezo mengine unavyoona yatafaa kunipatia
Kama nyumba hiyo utaijenga mkoani dsm, Basi gharama zake zitakuwa Kama ifuatavyo:

Boma 16 - 17m ....kutegemeana na kiwanja kilivyo.

Kupaua. Tshs 10 - 11m endapo utatumia mabati ya araf

Finishing Kati ya 40 - 60m, kutegemeana na quality ya materials

4bdr, sitting, dinning, kitchen, public toilet na study room
 
Back
Top Bottom