Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Wa kunijengea ajitokeze jaman nipo tayari nimzalie mtoto hata mmoja kwa wale wasiotaka kuoa...plzz
 
IMG_20210715_144345_370.jpg
 
Mkuu naomba unisaidie makisio ya material kwa ajili ya jamvi. Eneo la sakafu ni takribani 150SQM.
Ni nyumba ya vyumba vitatu, je kupiga plasta naweza hitaji saruji kiasi gani na mchanga kiasi gani? Thank you
 
Back
Top Bottom