Huna nyumba sema akupe kazi ya kupandisha zege we dogoNikikupa kazi je?unaweza jenga nyumba nyumba yangu bila kukata tofali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hata chumba na sebule inatosha au unataka ghorofa mama.Wa kunijengea ajitokeze jaman nipo tayari nimzalie mtoto hata mmoja kwa wale wasiotaka kuoa...plzz
Vyumba vitatuVipi hata chumba na sebule inatosha au unataka ghorofa mama.
Dah! JF never boring. Mkuu umeonywa. Usirudie kucheka.Ok.. Asante kwa hyo taarifa ya range yagharama.
Kuhusu kicheko, na ww usirudie kuchekesha!
Mie nipo tayari kukujengea kama utanizalia mtotoWa kunijengea ajitokeze jaman nipo tayari nimzalie mtoto hata mmoja kwa wale wasiotaka kuoa...plzz