Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
-
- #901
Ni fundi ujenzi mahiri wa majengo ya kuishi, majengo ya biashara na majengo ya ibada. Kazi inafanywa kwa ubora wa viwango vya juu. Gharama zetu ni nafuu kulingana na uchumi wa mtanzania.
Pia, tunafanya marekebisho ya Nyumba zenye muonekano wa kizamani kuwa na muonekano wa kileo/kisasa. Kazi zinakamilika kwa wakati kwa mujibu wa makubaliano.
PIA, TUNATENGENEZA MFUMO MAJI TAKA AMBAO HAUJAZI MASHIMO YA VYOO KAMWE.
BEI ZETU NI NAFUU SANA.
Napatikana Dar es salaam. Pia, unaweza kunipata Instagram kama 'Fundi mahiri wa ujenzi'.
Mawasiliano.
0655173113
Whatsap 0655173113
Barua pepe:
paulbuildingagency@outlook.com
pmoses951@gmail.comView attachment 1853469View attachment 1771884View attachment 1771888View attachment 1771901View attachment 1774023View attachment 1774028View attachment 1774028View attachment 1774074View attachment 1774077View attachment 1786604View attachment 1792020View attachment 1792077View attachment 1797879View attachment 1899834View attachment 1899834View attachment 1940166
NitakujibuFUNDI nimependa sana reaction yako kwa wateja wako, hii inaonesha jinsi gani uko smart..
Nimependa sana kufanya kazi na wewe japo ndio naanza maisha.
Swali Langu.
Kama Eneo ni zuri tu halina mabonde, hasa kigamboni Dar es salaam.
Nyumba Ya chumba kimoja self na sebure pamoja na kajiko kadogo humo humo ndani..
Kuandaa ramani ni bei gani???
Lakini pia unaweza kuapproximate Niandae pesa kiasi gani kama kiwanja kama kipo tayari!!
Naomba msaada wako