Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
-
- #161
AsanteKaribuni
Karibuni
Sasa c ungemjibu tu mkuuhili swali fundi hawezi kukujibu kwa ufasaha ,hapo anatakiwa architect au civil engineer kwa msaada za nakukaribisha .
fundi kazi yake kujenga kwa maelekzezo ya mtaalamu
Vyumba vyenye ukubwa gani?NAOMBA MAKADIRIO NAHITAJI KUJENGA GUEST HOUSE NZURI YA VYUMBA VI-4, BUNJU
3.5m*3Vyumba vyenye ukubwa gani?
Una mchoro?3.5m*3
Mjengo upi?Mjengo km huo huo mpk finishing approximately ni shiling ngp fundi?
hpnUna mchoro?
Mkuu itakuwa vyema tukipata mchoro kwanza, hapo tunaweza pata gharama halisi.
Mkuu nina swali.Mkuu itakuwa vyema tukipata mchoro kwanza, hapo tunaweza pata gharama halisi.
Ukihitaji mchoro tunaweza ongea pia