Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Kutana na fundi mahiri wa ujenzi wa nyumba

Swali lako ni too general boss. Hata hujui nyumba ina vitu gani?
Tuache hayo, hebu nambie unataka nyumba yenye vitu gani? Na ukubwa upi ili nikupe gharama halisi
Samahani sana, nina 20M ninahitaji nyumba ya kuishi
 
Mkuu nyumba ya vyumba vitatu, kimoja master, sebule, jiko store ndogo, dinning, makadirio ni tofali ngapi? Cement mifuko mingapi na bati?? Je kiujumla itanigharimu kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks in advance.
two-bedroom-house-plans-two-bedroom-cottage.gif
unnamed.gif
two-bedroom-house-plans-two-bedroom-cottage.gif

Mchoro hiyo Kidogo inaweza kumudu hiyo budget
 
Back
Top Bottom