Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
- #201
Ndg nakushukuru kwa pongezi, zaidi pia namshukuru MUNGU kwani kila uchao najiona nasogea.Mkuu hongera kazi zko zinaongea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndg nakushukuru kwa pongezi, zaidi pia namshukuru MUNGU kwani kila uchao najiona nasogea.Mkuu hongera kazi zko zinaongea
Mkuu naomba ufafanuzi kipi ni bora zaidi katika ku skim kati wallputt, white cement au gypsum powder. Pia katika kupambana na chumvi zinazoharibu ukuta umetaja anti~chumvi, hili ndio jina rasmi la hii bidhaa?Naam ndg. Kwa nyumba zetu hizi za kawaida yaani vyumba viwili na maste jiko pamoja na sebure unatumia wastani wa ndoo 6 za rangi ndani na nje, inaweza kupungua au kuongezeka kutegemea na udogo au ukubwa wa jengo. Gharama ya rangi ndoo 1 nikati ya tsh. 140,000 mpaka 180,000 kutagemea na makampuni.
Fundi anaweza kuku charge kati ya tsh. 1,500,000 mpaka 3,000,000, hii nikuanzia hatua ya skimming mpaka rangi, suala la gharama ya fundi linategemea na uwezo wake wa ufanisi ktk kufanya kazi, mara nyingi mafundi waaminifu wanafanya kazi nzuri nani aghali, kumbuka gharama hizi zinaweza kuongezeka au kupungua kutegemea na makubaliano lakini pia kutegemea na aina ya jengo lewenywe.
Nimezungumzia baadhi ya maeneo machache kwenye hatua za rangi, kumbuka kuna Wallputy au Gypsum powder na white cement, vyote hivi vinahusika kwenye hatua za rangi, inategemea fundi ameshauri nini.
White cement ni komesha ya chumvi na magadiMkuu naomba ufafanuzi kipi ni bora zaidi katika ku skim kati wallputt, white cement au gypsum powder. Pia katika kupambana na chumvi zinazoharibu ukuta umetaja anti~chumvi, hili ndio jina rasmi la hii bidhaa?
Ndg white cement inabaki kama ilivyo, kuwa dawa kwa chunvi sisiwa.White cement ni komesha ya chumvi na magadi
Kesi ya chunvi kwa uzoefu wangu white cement haina nafasi kwenye utatuzi.Ndg white cement inabaki kama ilivyo, kuwa dawa kwa chunvi sisiwa.
labda kwa maeneo uliyopoWhite cement ni komesha ya chumvi na magadi
Hii nikweli kabisa.labda kwa maeneo uliyopo
lkn kuna baadhi ya maeneo yana magadi ya kutosha hyo white cmnt haifui dafu
Karibuni wadau.Tuite sasa tuyapambe makazi yako sasa. 0766111212View attachment 2335328View attachment 2335329View attachment 2335331View attachment 2335332View attachment 2335334
Unafanya kazi nzuri sana!!Jenga nasi.
Ahsante ndg karibu sana.Unafanya kazi nzuri sana!!
Ndg hii ni stone paint, kwasababu imetokana na mawe yaliyosagwa. Hapa kwetu tunaita Drewa ndo jina lililozoeka na wengi. Hii ni nzuri kwa mwonekano lakini kwa ushauri wangu inapendeza ukiipaka eneo dogo kama vile nguzo na vibaraza, kwani ikiwa utaipaka eneo kubwa baada ya miaka 3 na kuendelea ukiichoka huwezi kupaka rangi juu yake.Hivi kati ya zile rangi za vipele na za kawaida unamshauri mteja apake rangi ipi?
Hii pia ni stone paint, 90% ni mawe yaliyosagwa, hapa kwetu inamajina tofauti kama vile Conmix,Wallmaster, Terast, Decor plaster, Rough Plaster, na mengine mengi kwani kila mtengenazi na jina lake. Mimi napendekeza hii, kwani hata ikiwa imepauka unaweza kupaka rangi ya kawaida juu tofauti na ile ya upele. Zote ni rafiki na unyevunyevu na mwonekano wake nimzuri na wa kuvutia tofauti na rangi ya kawaida.Hivi kati ya zile rangi za vipele na za kawaida unamshauri mteja apake rangi ipi?
Samahani hizo picha zilitakiwa zisimame.Hii pia ni stone paint, 90% ni mawe yaliyosagwa, hapa kwetu inamajina tofauti kama vile Conmix,Wallmaster, Terast, Decor plaster, Rough Plaster, na mengine mengi kwani kila mtengenazi na jina lake. Mimi napendekeza hii, kwani hata ikiwa imepauka unaweza kupaka rangi ya kawaida juu tofauti na ile ya upele. Zote ni rafiki na unyevunyevu na mwonekano wake nimzuri na wa kuvutia tofauti na rangi ya kawaida.View attachment 2349836View attachment 2349839View attachment 2349841
Safi sana mkuu kazi nzuriNdungu zangu kipekee nimekuwepo hapa JF kwa miaka zaidi ya 6 nimejifunza mengi kuhusiana na baadhi ya bidhaa za rangi za majengo. Hapa nitakuwa nikionesha kazi zangu, naacha nafasi ya kuuliza maswali nami nitakuwa najibu punde nipatapo muda.
Zaidi ni changamoto za rangi kubanduka pamoja na fungus, lakini pia kuna hatua za upakaji rangi, ni vifaa vipi sahihi utumie pamoja na makampuni ya rangi.
Utanipata kwa no 0766111212.
View attachment 2324877View attachment 2324878View attachment 2324880View attachment 2324881View attachment 2324882View attachment 2324884View attachment 2324885View attachment 2324887
Nakushukuru mno ndg.Safi sana mkuu kazi nzuri
Kwa kuta za nje, Conmix na Rangi kipi ni bora na yenye kupendeza zaidi?Tuite sasa tuyapambe makazi yako sasa. 0766111212View attachment 2335328View attachment 2335329View attachment 2335331View attachment 2335332View attachment 2335334