mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Sio kweliHizi nyumba za kifahari langi yoyote utakayopaka inapendeza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliHizi nyumba za kifahari langi yoyote utakayopaka inapendeza tu
Picha namba 5 gorofa, rangi yake pia ni Beige?Hapa unaweza kuona ninacho maanisha.View attachment 2325757View attachment 2325759View attachment 2325761View attachment 2325762View attachment 2325763
Ndiyo ndg ni Beige.Picha namba 5 gorofa, rangi yake pia ni Beige?
Utaona mazigira ni hayohayo lakini mpangilio wa rangi tofauti.Hii ni Application ninayotumia kwa mpangilio wa rangi.View attachment 2327483View attachment 2327485
Karibuni. 0766111212Utaona mazigira ni hayohayo lakini mpangilio wa rangi tofauti.
Nafahamu hayo yote ndio maana nikasema makisio,let's say nyumba ni ukubwa wa 200sqNdg gharama inategemea na kazi lakini pia inahusisha materials gani, kwani ufundi wa rangi ni mpana mno.
Naam ndg. Kwa nyumba zetu hizi za kawaida yaani vyumba viwili na maste jiko pamoja na sebure unatumia wastani wa ndoo 6 za rangi ndani na nje, inaweza kupungua au kuongezeka kutegemea na udogo au ukubwa wa jengo. Gharama ya rangi ndoo 1 nikati ya tsh. 140,000 mpaka 180,000 kutagemea na makampuni.Nafahamu hayo yote ndio maana nikasema makisio,let's say nyumba ni ukubwa wa 200sq
Samahani mzee baba kampuni gani ya rangi ni ghali sana?pia kwa vyumba vinne ,public toilet,dinning ,sittingroom ,jiko na store inaweza kuwa kiasi gani mzee baba za ufundi ukitoa skimmingNaam ndg. Kwa nyumba zetu hizi za kawaida yaani vyumba viwili na maste jiko pamoja na sebure unatumia wastani wa ndoo 6 za rangi ndani na nje, inaweza kupungua au kuongezeka kutegemea na udogo au ukubwa wa jengo. Gharama ya rangi ndoo 1 nikati ya tsh. 140,000 mpaka 180,000 kutagemea na makampuni.
Fundi anaweza kuku charge kati ya tsh. 1,500,000 mpaka 3,000,000, hii nikuanzia hatua ya skimming mpaka rangi, suala la gharama ya fundi linategemea na uwezo wake wa ufanisi ktk kufanya kazi, mara nyingi mafundi waaminifu wanafanya kazi nzuri nani aghali, kumbuka gharama hizi zinaweza kuongezeka au kupungua kutegemea na makubaliano lakini pia kutegemea na aina ya jengo lewenywe.
Nimezungumzia baadhi ya maeneo machache kwenye hatua za rangi, kumbuka kuna Wallputy au Gypsum powder na white cement, vyote hivi vinahusika kwenye hatua za rangi, inategemea fundi ameshauri nini.
Kwa makampuni ya viwanda vya kuzalisha rangi hapa Tanzania, rangi ambayo ni Aghali ni Kansai ya Japani ambayo imesajiliwa Tanzania inazalisha rangi za Plascon, zamani ilikuwa inazalisha rangi za Sadolin ambayo ilinunuliwa na Kansai ya Japani, kwa sasa ukikutana na Sadolin mtaani ujue inazalishwa na kampuni ya Crown ambao walinunua jina.Samahani mzee baba kampuni gani ya rangi ni ghali sana?pia kwa vyumba vinne ,public toilet,dinning ,sittingroom ,jiko na store inaweza kuwa kiasi gani mzee baba za ufundi ukitoa skimming
Hakika ndg, si kila rangi itapendeza kwenye jengo, naijulikane kuwa kazi ya kupangilia rangi niubunifu uliobebwa na sanaa. Mafano kuna rangi za mahaba, vyakula maji n.k kifupi somo la rangi nipana mno.Sio kweli
Unakuta jengo mutu kalipaka rangi za mahaba, kifupi rangi zinazopendwa na wanake zimechukuliwa kama vile rangi za mahaba. Kama vile papo na pink.Hakika ndg, si kila rangi itapendeza kwenye jengo, naijulikane kuwa kazi ya kupangilia rangi niubunifu uliobebwa na sanaa. Mafano kuna rangi za mahaba, vyakula maji n.k kifupi somo la rangi nipana mno.
Sasa unakuta mtu kapaka rangi za namna hii kwenye jengo kisa mama ndo amechagua.Unakuta jengo mutu kalipaka rangi za mahaba, kifupi rangi zinazopendwa na wanake zimechukuliwa kama vile rangi za mahaba. Kama vile papo na pink.View attachment 2328009View attachment 2328010
Karibuni wadau.Sasa unakuta mtu kapaka rangi za namna hii kwenye jengo kisa mama ndo amechagua.View attachment 2328011
Karibu sana ndg.Safi sana
Karibu mno ndg.Safi sana! Nitakutafuta