Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Hii ni Application ninayotumia kwa mpangilio wa rangi.
Screenshot_20220818-160950_Behr.jpg
Screenshot_20220818-161158_Behr.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20220818-160950_Behr.jpg
    Screenshot_20220818-160950_Behr.jpg
    41.2 KB · Views: 44
Nafahamu hayo yote ndio maana nikasema makisio,let's say nyumba ni ukubwa wa 200sq
Naam ndg. Kwa nyumba zetu hizi za kawaida yaani vyumba viwili na maste jiko pamoja na sebure unatumia wastani wa ndoo 6 za rangi ndani na nje, inaweza kupungua au kuongezeka kutegemea na udogo au ukubwa wa jengo. Gharama ya rangi ndoo 1 nikati ya tsh. 140,000 mpaka 180,000 kutagemea na makampuni.

Fundi anaweza kuku charge kati ya tsh. 1,500,000 mpaka 3,000,000, hii nikuanzia hatua ya skimming mpaka rangi, suala la gharama ya fundi linategemea na uwezo wake wa ufanisi ktk kufanya kazi, mara nyingi mafundi waaminifu wanafanya kazi nzuri nani aghali, kumbuka gharama hizi zinaweza kuongezeka au kupungua kutegemea na makubaliano lakini pia kutegemea na aina ya jengo lewenywe.

Nimezungumzia baadhi ya maeneo machache kwenye hatua za rangi, kumbuka kuna Wallputy au Gypsum powder na white cement, vyote hivi vinahusika kwenye hatua za rangi, inategemea fundi ameshauri nini.
 
Samahani mzee baba kampuni gani ya rangi ni ghali sana?pia kwa vyumba vinne ,public toilet,dinning ,sittingroom ,jiko na store inaweza kuwa kiasi gani mzee baba za ufundi ukitoa skimming
 
Kwa makampuni ya viwanda vya kuzalisha rangi hapa Tanzania, rangi ambayo ni Aghali ni Kansai ya Japani ambayo imesajiliwa Tanzania inazalisha rangi za Plascon, zamani ilikuwa inazalisha rangi za Sadolin ambayo ilinunuliwa na Kansai ya Japani, kwa sasa ukikutana na Sadolin mtaani ujue inazalishwa na kampuni ya Crown ambao walinunua jina.

Tukirudi kwenye point Plascon ndiyo kampuni pekee Tanzania inayozalisha rangi bora kuliko zote Tz nani aghali kulikozote pia. Lakini uzinunue kwa mawakara ukienda Kariakoo utapigwa na feki, simaanishai Kariakoo original hakuna...la..hasha..bali kanunue kwa wakala tu.
 
Sio kweli
Hakika ndg, si kila rangi itapendeza kwenye jengo, naijulikane kuwa kazi ya kupangilia rangi niubunifu uliobebwa na sanaa. Mafano kuna rangi za mahaba, vyakula maji n.k kifupi somo la rangi nipana mno.
 
Unakuta jengo mutu kalipaka rangi za mahaba, kifupi rangi zinazopendwa na wanake zimechukuliwa kama vile rangi za mahaba. Kama vile papo na pink.
Screenshot_20220819-071252_Behr.jpg
Screenshot_20220819-071252_Behr.jpg
 
Pia naweza kukutumia picha zaidi. WhatsApp pia natumia no ileile..0766111212
 
Back
Top Bottom