Fundi rangi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2014
- 3,527
- 1,210
- Thread starter
-
- #241
Hzi swaga sizielwag sana, sanasana kwa wafanyabiashara anaweka namba halafu mwisho wa siku inakuwa kama unamlazimisha, labda kama unataka tu kutamba na sio biashara hapo tutaelewaUkitumiwa message whatsapp unasoma then hujibu. Sasa umeweka namba ya nini?
Habari ndg yangu, nimekuwa mtiifu sana na ndivyo nilivyo, niliomba msamaha kwakutokujibu msg kwa wakati, lakini pia ukipitia huu uzi utaona ndg zangu kama si 97% basi waote nimewajibu kwa wakati tofauti.Hzi swaga sizielwag sana, sanasana kwa wafanyabiashara anaweka namba halafu mwisho wa siku inakuwa kama unamlazimisha, labda kama unataka tu kutamba na sio biashara hapo tutaelewa
Ndg bei inategemea na udogo au ukubwa wa paa, au kazi yewenyewe, hivyo mapatano nikulingana na jinsi kazi ilivyo.Bei ikoje mkuu
Ni jukumu letu kuyapamba makazi yako. 0766111212Ahsante kwa taarifa...
Ndg natoa pia huduma ya kusafisha mapaa, nilifungua uzi tofauti ndg zangu wameuunganisha na kazi zangu za rangi.Hii imekaaje?!