Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Unaweza piga rough plaster mpya juu ya zamani iliyokwisha kuchoka pasipo kuibandua?
 
Ndg Ikiwa ulishapaka rangi au kufanya skimming, Rough Plaster inakaa mahali popote na kundi yake ni kali mno, hata ikidondoka chini kuibandua ufanye kazi kubwa sana.
Sawa mtaalam, so sasa ndoo moja ndio ina cover 8sqm kwa 80k. Je labour charge kwa sqm moja bei gani?
 
mkuu hii inadumu kwa muda gani...nataka nianze kuitunza ndani, nununue kidogo kidogo
 
Ndungu zangu kipekee nimekuwepo hapa JF kwa miaka zaidi ya 6 nimejifunza mengi kuhusiana na baadhi ya bidhaa za rangi za majengo. Hapa nitakuwa nikionesha kazi zangu, naacha nafasi ya kuuliza maswali nami nitakuwa najibu punde nipatapo muda.

Zaidi ni changamoto za rangi kubanduka pamoja na fungus, lakini pia kuna hatua za upakaji rangi, ni vifaa vipi sahihi utumie pamoja na makampuni ya rangi.

Utanipata kwa no 0766111212.

 
Kazi nzuri kiongozi, naomba kufahamu hii rangi ya gorofa ya kwanza inaitwaje?
 
Kazi nzuri sana..

Ila sasa tutajuaje kama ndiyo mkono wako for real? Maana siku hizi watu wanadownload mapicha mtandaoni tuu kisha wanajibrandisha😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…