Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Huu ni mwonekano wa Rough Plaster, unaweza kuona ikiwa na maua tofauti. 0766111212
20200909_170751.jpg
20200909_170758.jpg
20200909_170803.jpg
20200821_172728.jpg
 
Ndg zangu leo nawaletea Rough Plaster, ni Materials ambayo nnimezalisha mwenyewe hapa Tanzania. Kampuni yangu inaitwa Mimina Co Ltd.


1. Conmix
2. Wall Master
3. Rough material
4. Rough Plaster

Haya ndo majina yaliyo zoeleka.

Ya kwangu ipo kwenye ndoo, ujazo ni 30kg na ndoo 1 inaweza kupaka ukubwa wa 8sqm. Bei ni tsh. 80,000.

Za makampuni mengine wanauza kari ya 110,000 mpka 130,000

Project kubwa ambayo nimefanya ni Marijani Hotel iliyopo Pwani Mchangani Zanzibar.

Utanipata kwa no hii. 0766111212

View attachment 2207750View attachment 2207754View attachment 2207757View attachment 2207758
View attachment 2207753

Hongera sana…..lakini kama unazalisha wewe kwann bei iwe juu sana kuliko minat decor inayokuwa imported na inapiga square meter nane kama yako!?

Angalia suala la bei!
 
Hongera sana…..lakini kama unazalisha wewe kwann bei iwe juu sana kuliko minat decor inayokuwa imported na inapiga square meter nane kama yako!?

Angalia suala la bei!
Ndg ikiwa sikosei materials unayoizungumzia ipo kwenye mifuko, yaani powder form, kiutafiti materials ambazo ni Liquid form ni Aghali mno, na Durability yake ni kubwa mno kuliko ya mifuko, hivi karibuni nitaanza kuzalisha za mifuko 30kg haitazidi ths.35,000.
 
Back
Top Bottom