Kutana na fundi rangi, kuna mengi ya kujifunza

Natoa ushuhuda, nimetumia product zako. Uliniletea na gari yako nyekundu. Nimepaka kwenye fence yangu imependeza sana. Nitakutafuta tena project zijazo.
Waaoo nakushukuru sana Ndg. Natamani kukufahamu.
 
Huu ni Mradi mkubwa ambao tumefanya, ni Marijani Hotel iliyopo Zanzibar ambayo tulifanya finishing majengo yote nje kwa kutumia Rough Plaster ambayo tumezalisha wenyewehapa Tanzania.
20220202_165444.jpg
20220106_134814.jpg
20220202_195132.jpg
 
Na vipi kuhusu mafundi?
Ni lazima watoke kwako au hata Hawa wakawaida wanaweza kutumia hiyo materials ?
Karibu ndg, ukweli ni kwamba mafundi rangi wanaoweza kutumia hii material ni wachache, na hao wachache wanaoweza kupaka ukaifurahia ni wachache.

Jukumu langu ni kukuuzia Material, mafundi wangu watahusika tu pale ikiwa huna mafundi, ushauri wangu jukumu hili lifanywe na fundi mzoefu ili tupate matokeo mazuri kisha tuufurahie mwonekano wa jengo letu.
 
Hii inatumika baada ya plasta ya kawaida kukamilika au?
 
Sorry kiongozi... zinakuwa za rangi tofauti tofauti au hiyo rangi napaka mwenyewe!?

Maana yake hii pia inaondoa gharama za skimming na kupaka rangi!??
 
Hii Cornimix naweza paka kwa ndani pia ama inapendeza kwa nje tu, nimeona nyumba nyingi kwa sasa wanapaka sana hiyo kitu kukwepa gharama za rangi?

Na huwa zinadumu ama ni promo ya kuuza rangi tu boss
 
Ndg hii ya kwangu ina rangi moja tu, ukishapaka unapaka rangi juu unayotaka, na kusudi la material hii si kukwepa skimming..la..hasha, bali kukwepa adha ya rangi kubanduka na kushambuliwa na unyevunyevu yaani fungus, lakinipi kuepuka gharama za kupaka jengo lako kila wakati.
 
Ndg naomba nitoe uelewa kidogo, kwanza kabisa hii material hapa nchini ilikuwa inotoka Kenya wakati huo hapa ilijulikana kwa jina la Wallmaster, hii ilikuwa kwenye mifuko, badae wakaanza kuleta Nabaki Africa wao wakawa wanaiita Conmix, na hii yakwao ni ya mifuko...sasa makampuni yakaona hii ni biashara, Spanish Tiles, nao wakaleta ya ndoo, wao wakaiita Decor Plus, badae kampuni ya Aqur Deor nao wakaleta wakawa wanaita Terasit nao ni ya ndoo.

Zote zinafanana mwonekano, ila kitaalam ya ndoo ambayo ni Liquid form yaani ujiuji ikishapakwa ni ngumu mno kuliko ya mifuko ambayo ni Powder form. Kifupi inafaa zaidi nje, ndani labla maeneo machache.
 
Ndg hii ya kwangu ina rangi moja tu, ukishapaka unapaka rangi juu unayotaka, na kusudi la material hii si kukwepa skimming..la..hasha, bali kukwepa adha ya rangi kubanduka na kushambuliwa na unyevunyevu yaani fungus, lakinipi kuepuka gharama za kupaka jengo lako kila wakati.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa, ili kuweka hii material, lazima nyuma nichapie, ni skim kisha ndo nipake hii!?? Au nichapie, nipake hizi material zako,ni skim then nipake rangi!??

Una rangi gani!?
 
Namaanisha ukisha piga Plaster, unapaka hiyo Rough Plaster kisha rangi unayotaka.
 
Back
Top Bottom