Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Kuna jamaa mmoja anaitwa Yahushi Takahashi Aliweza kutumia zaidi ya Miezi Sita kuizunguka Japan akisafiri umbali wa kilomita 7,163.7 kwa mguu, kwa gari, kwa kutumia boat, treni na na baiskeli yote hayo ili kuweza kukubaliwa pendekezo lake la ndoa.
Alikua anatumia kifaa cha GPS kuweza kufuatilia safari nzima, akichora ujumbe kwa Uangalifu, alipofika nyumbani Aliweza kupakia Data hiyo kwenye Ramani za Google, akifichua maneno ya "Marry Me" katika kile kilichokuwa mchoro mkubwa zaidi wa GPS duniani, mafanikio ambayo baadaye yalithibitishwa na Guinness!.
Je wewe ungeweza kutembea umbali wote huo kwa ajili ya kumuonyesha Mpenzi wako unampenda na unahitaji kufunga ndoa naye ?
Mtag mtu ambaye ungependa ujumbe huu umfikie!!!!
#bongotech255 #gps
#mapenzi #hisia #dunia #jewajua #techforgood #explorepage