Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Siku mapenzi yakivia, atembea tena?View attachment 3285246
Kuna jamaa mmoja anaitwa Yahushi Takahashi Aliweza kutumia zaidi ya Miezi Sita kuizunguka Japan akisafiri umbali wa kilomita 7,163.7 kwa mguu, kwa gari, kwa kutumia boat, treni na na baiskeli yote hayo ili kuweza kukubaliwa pendekezo lake la ndoa.
Alikua anatumia kifaa cha GPS kuweza kufuatilia safari nzima, akichora ujumbe kwa Uangalifu, alipofika nyumbani Aliweza kupakia Data hiyo kwenye Ramani za Google, akifichua maneno ya "Marry Me" katika kile kilichokuwa mchoro mkubwa zaidi wa GPS duniani, mafanikio ambayo baadaye yalithibitishwa na Guinness!.
Je wewe ungeweza kutembea umbali wote huo kwa ajili ya kumuonyesha Mpenzi wako unampenda na unahitaji kufunga ndoa naye ?
Mtag mtu ambaye ungependa ujumbe huu umfikie!!!!
#bongotech255 #gps
#mapenzi #hisia #dunia #jewajua #techforgood #explorepage
Ni ujinga,upumbavu mwingine mjiniEnheee alikubaliwa sasa??
Wakati yeye anazurura huko , huyo anayetegemea amkubalie yupo busy kumfinyia kwa ndani mpenzi wake.
Wa huko ni wastaarabu angalau, shughuli ni akina Mwaju na akina Helena hawaEnheee alikubaliwa sasa??
Wakati yeye anazurura huko , huyo anayetegemea amkubalie yupo busy kumfinyia kwa ndani mpenzi wake.
Hawana ustaarabu wowote. Jamaa hapo kajichosha bure bora angekuja huku Buza Akina mwajey wangemkubalia chaap.Wa huko ni wastaarabu angalau, shughuli ni akina Mwaju na akina Helena hawa
Kabisa.Ni ujinga,upumbavu mwingine mjini
Akitembea miezi sita anakuta mimba ya miezi 5 au mimba sita zilizotolewa na kizazi kujifia, plus UTI, gono na pangusa za kutoshaHawana ustaarabu wowote. Jamaa hapo kajichosha bure bora angekuja huku Buza Akina mwajey wangemkubalia chaap.
Jamani, kiswahili mnataka kukiharibu sasa!Enheee alikubaliwa sasa??
Wakati yeye anazurura huko , huyo anayetegemea amkubalie yupo busy kumfinyia kwa ndani mpenzi wake.