Kutana na Leonora Jacobs wa Filamu ya The Gods Must be Crazy II anayedai kuwa hakulipwa hata senti

Kutana na Leonora Jacobs wa Filamu ya The Gods Must be Crazy II anayedai kuwa hakulipwa hata senti

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Leonora Jacobs enzi za utoto wake aliigiza filamu ya The gods must be crazy II.

Staa huyo wa Namibia, amewashangaza wengi kwa kudai kuwa hajawahi kulipwa pesa wakati anaigiza filamu hiyo.

Wakati akiigiza filamu hiyo ya mwaka 1989, alikuwa na miaka 6 tu. Kwasasa ana miaka 40 akiwa anafanya kazi ya kuuza duka.

Filamu hiyo iliingiza takribani Dola Milioni 6.3 lakini Leonora hakupata hata senti tano.

8FC10F51-A11A-470B-A3FA-03F6520C0CF1.jpeg


18AC8AA9-CF30-4D28-B8DB-014456D38099.jpeg



=================

Je, Unajua, Muigizaji wa Namibia, Leonora Jacobs aliyetamba katika filamu ya The Gods Must Be Crazy II ya Mwaka 1989 hakuwahi kulipwa kwa ushiriki wake katika filamu hiyo.

Leonora aliahidiwa kulipwa atakapofikisha umri wa miaka 21 lakini hadi sasa ana miaka 42 hajalipwa licha ya filamu hiyo kuingiza Dola Milioni 6.3 (Tsh. Bilioni 14).

==============

Namibian Actress, Leonora Jacobs who starred in the 1989 movie, The Gods Must Be Crazy II says she wasn't paid for her role.

She was 5 years old when it was filmed in 1985. She is 42 years old now, and lives with her mum.

She said she feels used. The movie grossed $6.3 million.

The Gods Must Be Stingy: Actress Leonora Jacobs Reveals That She Was Never Paid For Her Role In The Gods Must Be Crazy!

The Gods Must Be Stingy: Actress Leonora Jacobs Reveals That She Was Never Paid For Her Role In The Gods Must Be Crazy!

“The Gods Must Be Crazy” Namibian actress Leonora Jacobs has left social media stunned after she made a shocking revelation about how she was never paid for her role.

Leonora Jacobs who starred in The Gods Must Be Crazy 2 1989 sequel when she was just 5 years old claims that she never received any cent for her role.

Speaking in a short video clip that is circulating on social media, Leonora said that she never got paid for acting in the classic movie. Leonora, who is now 42 years old, revealed that they promised her that when she reaches 21 years they will pay her something for playing her role but up until now, she claims that she still hasn’t received a dime from the production company.

Watch the video below as Leonora speaks on how she was never paid for her role on The Gods Must Be Crazy 2;

Meanwhile, this comes after one of the late main actors Nǃxau ǂToma, who played the role of Xi, was also reported to have been paid a measly salary for his role in the iconic movie.

Despite becoming a global star because of his acting in The Gods Must Be Crazy, which amassed millions, N!xau was only given R243, which was the equivalent of US$300 then.

Speaking on the development Jamie Uys, the director of The Gods Must Be Crazy, said that N!xau did not know the importance of paper money, so he let go of it.

Source: iharare
 
Waandaaji wa filamu si wangali wapo, adeal nao mahakamani
Miaka 6 atakua alinunuliwa pipi tu, on a serious note nadhani lazima kulikua na ruhusa kutoka kwa wazazi au walezi ili yeye ashiriki

Hao ndo anatakiwa kuwauliza, kama walilipwa lazima walizipiga tu izo hela maana wazazi wa kiafrica mtoto wa miaka 6 utapewa Nini unadhani, kama walikubali aagize bure huyo ni ujinga wao

Kwa sa ivi hawezi kupata chochote maana hata Hio production company ya weintrub Kuna kipindi walitangaza imefilisika
 
Hii filamu ina controversy sana ... hata staa wa hii filamu hiyo Nǃxau ǂToma
hakuona haja ya kulipwa kutokana na kabila/jamii yao kutokujali mali (materialism) ye mwenyewe anasema kabla ya hiyo movie alikua ameona wazungu watatu tu na Pesa za kwanza alizolipwa $300 alizitupa zote hata hivyo baadae alikuja kupata dau la almost USD 500,000 (Japo wengine wanasema ni chini ya USD 2000) hakuondoka Kapaa, alizitumia kujenga nyumba ya kisasa, kununua gari used na kuajiri dereva maana hakuwa anataka kujifunza wala kuendesha gari kabisa.
images.jpeg-12.jpg


Ila ni Bonge moja la filamu imebeba memory zetu nyingi sana za utoto.
 
Hata yule mwenzake mwingine pia alisema hajawahi pewa hata kumi kutoka kwenye filamu hyo.
 
Back
Top Bottom